Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

namanka_Jr

Member
Jan 24, 2015
13
57
Wadau,Matumizi ya simu na maujajanja yake yametofautiana sana yaani wengine wako Form Six wengine Diploma na wengine PhD, hasa linapokuja suala la Smart phone.

Mfano LIVE FOOTBALL TV kwangu ni app ambayo ukiwa nayo tu unaweza kucheki soka hata kama uko kwenye Daladala na Mambo yakaenda sawa kinoma.

Dondosha App(s) yako ambayo unaitumia sana halafu inakufanya uone kumiliki Smart Phone kwako ni kitu Bomba sana.
 
Back
Top Bottom