Recent content by namaleche123

  1. N

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nina laki 3 napata tv ya nchi ngap nipo masas
  2. N

    Vitambulisho vya Taifa: Mlichukua muda gani hadi kupewa vitambulisho?

    Sijaelewa kwann hivi vitambulisho vina expire date,wanaojua kwann wanielimishe
  3. N

    Niuzie meza za ofisini na viti

    Una viti vya aina gan? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Tatizo pm sikujui nitafute weye nitakuongeza hela 35 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Manesi wa Kairuki Hospital huduma zao ni mbovu

    Ila bosi wa Utumishi ni noma jaman Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
  6. N

    Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

    Asante kwa somo,naomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya pombe na PID. Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
  7. N

    Everton waamua kula kwa mama ntilie Dar

    Inasemekana Kenya kuna mashindano ya riadha ya inch 135 wasingepata wanachokitaka, Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
  8. N

    Hii ndio Iringa halisi na watu wake

    Kile (PHCI)chuo watu wamepiga helaa kumaliziwa hakimaliziwi,,watz sisi acha tu Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
  9. N

    Hii ndio Iringa halisi na watu wake

    Iringa nitarudi tena Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
  10. N

    Kuna mwanaume anayemsaidia mwanamke bila sababu za kimapenzi?

    Wapo wanaume wa hivyo lakini kama alivyosema mdau mmoja,tatizo tunabadilishwa majina na kuna muda mwingine wao wenyewe ndio wanaweka mzingira ya kwenda faragha
  11. N

    Maajabu: Kamati yataka Malinzi apitishwe bila kuwepo

    Hamjawajua wana kamati,wanajiongezea Siku za kula posho..kila kitu kipo wazi busara zinatoka wap?
  12. N

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Waliouwawa ni askari wa usalama barabarani sio hawa wa kawaida ni trafik
  13. N

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Nimepita pale mida ya saa nane kasoro na nimewaona wale polisi wakatwambia tupite...kuna juma,salum na Christina,mmoja huyu ndio katoka likizo
Back
Top Bottom