Wakuu kama uzi unavyosema, nahitaji meza na viti za ofisi, kama unavyo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
MEZA sina ninavyo viti vizuri sana piga simu 0712652110 DARWakuu kama uzi unavyosema, nahitaji meza na viti za ofisi, kama unavyo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
We uko wapi? Mahuta Newala, Namtumbo, Lushoto, Monduli....Wakuu kama uzi unavyosema, nahitaji meza na viti za ofisi, kama unavyo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku unapatikana wapiWakuu kama uzi unavyosema, nahitaji meza na viti za ofisi, kama unavyo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku ameshaviuza. Nenda maeneo ya Gerezani kama unatokea hapa Tamsoma hotel kuna huo mtaa unaopandisha kuelewa Kongo utaviona vimepangwa pembeni ya njia .