Recent content by Namala Namala

  1. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

    mbona mie nimekua nikisikia kuwa usafiri salama kabisa kuliko wote hapa duniani ni njia ya maji kwa maana ya meli.
  2. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    siyo tu kiduku, vinywele vichafu vimejaa vumbi vimesokotwa, sijui ndo wanaita kiduku msokoto na kisuruali kina matobo magotini na mapajani, baadhi ya boda wapuuzi sana asee.
  3. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    ziwa Tanganyika halina maji chumvi, lina maji baridi
  4. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Wazungu hatuwawezi na hatutowaweza

    kwa sasa mzungu hawezi kuua uchumi wa mchina, kishachelewa tayari
  5. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

    na je vp ukipima kipimo kikaleta mstari mmoja ila baada ya masaa 4 kikabadilika na kuleta mistari 2 hapo inakuwaje, kwani kipimo kinatoa majibu sahihi baada dk ngapi wadau? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Dumila ni mji unaokuwa kwa Kasi sana!!

    kweli huu mji unakuwa kama ule mji wa Katoro kule Geita
  7. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Discipline: Somo zuri kutoka kwa marehemu Bruce Lee

    Harafu! wewe ni wa kanda maalumu?
  8. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Jamani panya wametafuna tsh. 90000/= sijui nifanyeje?

    peleka bank ukaiweke kwenye A/C yako then kaichukue pale kwenye ATM inakubalika vizuri tu ndugu yangu.
  9. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

    nimecheka asee!!
  10. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ina watu milioni 6 lakini wahudhuriao nyumba za ibada ni laki 7 tu kwa wiki. Hali ni hatari sana.

    hivi ndugu, kuna tofauti yoyote kati ya Lutherani na KKKT
  11. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Iringa Mabasi Kulazimishwa Usiku Kushusha Abiria Usiku Stand Iliyopo Porini Ni Ujinga Wa Hali Ya Juu.

    angalau wawe kama mwanza vile, maana Mwanza kuna stand mbili, mabasi ya yanayotokea mkoa wa Mara, Kenya na sehemu ya mkoa wa Simiyu yanyewe huishia Buzuruga stand isipokuwa yale yanayopitiliza huenda mpaka nyegezi terminal, na mabasi yanayotoka kanda karibu zote za nchi na Uganda kule husimama...
  12. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa anga za juu?

    Yaan wewe ndo tabularasa kabisa
  13. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Hodii Tabora

    kuna lodge inaitwa katavi lodge iko vizuri sana bei kama 15 elfu hiv, viwanja vya kujirusha nafikikiri pale oxygen panafaa sana mdau.
  14. Namala Namala

    JamiiForums Tanzania Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu

    Pole sana ndugu na hongera kwa kupambana mpaka hapo ulipokia Mungu wa Mbinguni ni mwema sana azidi kukulinda na kukujalia maisha marefu yenye upendo, mafanikio na baraka tele. Ila ndugu umenipa ka elimu kumbe ndizi mbivu ni dawa ya presha ya mimba!?
Back
Top Bottom