Recent content by nalb

  1. nalb

    Hivi kusudi la maisha ni nini?

    Kabla ya kujiuliza ukifa unaenda wapi, hebu tujiulize kabla ya kuzaliwa, ulikuwa wapi? Hivyo wakati mwingine tuache tu mambo yaende ki nature
  2. nalb

    Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

    Wewe ni Great thinker JF, wabongo wengi hawachunguzi mambo kwa kina.
  3. nalb

    Green Card Makulilo Lottery

    Wabongo tunapenda mtelezo Sana, jamaa katoa muda wake kingine charge ufanya kuengua watu wasio seriasi kujiengua mara moja, ila siku zote jambo zuri lolote lazima ukubali kurigharima mkuu
  4. nalb

    Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Ukiwa umeajiriwa na unafanya biashara ni ngumu sana kuona changamoto zilizoko kwenye biashara maana wewe una backup ya hiyo ajira yako, sasa acha kazi, ujiajiri, uwe na familia ya watu watano hivi wanaokutegemea ndiyo utajua anachosema mtoa mada.
  5. nalb

    Kubadili Knowledge kuwa pesa ni tatizo la Watanzania wengi sana

    Ukweli mchungu, maisha ni fumbo kubwa. Mtu kasoma mpaka chuo kikuu, akirudi anamkuta aliyemwacha form four ameshakuwa na maisha yake mazuri, huyu wa chuo ndo ananza kufikiri cha kufanya baada ya kusotea ajira za kuajiriwa na kukosa
  6. nalb

    Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

    Ingia YouTube search IBM scholar, kuna huyo jamaa anatoa maelezo mazuri sana namna ya kwenda marekani ki masomo nk. Yeye mwenyewe yuko marekani na alikwenda huko kupitia masomo
  7. nalb

    MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

    Kweli kabisa, ni kheri ufanye kazi muda mfupi malipo mazuri kuliko muda mrefu( miaka nenda rudi) kwa masirahi kiduchu kisa job security. Kwanza inafikia hatua ubongo una dumaa, haufikirii out the box, kwa ka utafiti kangu kadogo, watu wengi wanaoajiliwa on contract basis (renewal) ufanya ya...
  8. nalb

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    Hakika wewe umetema pointi za maana na zinazoonyesha uhalisia wa biashara tofauti na wengi wetu hupenda kusikia stori za vijiweni, maake kama faida ingekuwa kubwa sana tunavyoaminishwa basi wengi wangefanya.
  9. nalb

    A honest answer at an interview

    Duu ana akili nyingi huyo katisha
  10. nalb

    Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

    Kama kweli, pesa siyo yako kwa nini usiripoti benki yako, maana hapo wewe ni sawa na jambazi tu
  11. nalb

    Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

    Kiongozi mkubwa kuwa na passport naona haina mantiki, mtu kama Rais wa nchi anapokwenda nchi nyingine, anapotua tu kuna viongozi wa kumpokea tayari wapo uwanjani, na anapokelewa kama kiongozi na viongozi wa nchi hiyo na kupewa heshima zote anazostahili mkuu wa nchi,na wakati wa kutoka airport...
  12. nalb

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Mfano wa kuigwa, sio kila siku kulia lia na kulaumu tu, kumbe maisha yako unayo wewe mkononi mwako, yaani wewe ndiyo unatakiwa kuyafanya unavyotaka na si kusubiri hisani kutoka kwa mwingine
  13. nalb

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Mfano wa kuigwa, sio kila siku kulia lia na kulaumu tu, kumbe maisha yako unayo wewe mkononi mwako, yaani wewe ndiyo unatakiwa kuyafanya unavyotaka na si kusubiri hisani kutoka kwa mwingine
Back
Top Bottom