Kama ulichukua Mkopo Bank kwa Udhamini wa Mshahara wako iweje Bank waje wauze Nyumba yako??Dhamana yako wewe ni Ofisi ndio iliyokudhamini hivyo Bank hawawezi kuwa na Hati ya Nyumba yako
Nashangaa kuna CHOKO mmoja anaitwa LONGOSHE kaniandikia PM kwamba NIACHE UONGO KWAMBA NATAKA KUMDANGANYA MUOMBA MSAADA!!!wakati huohuo muomba msaada kaniuliza jina la huyo Lectural ninayemzungumzia kamtaja na jina na ndie huyohuyo ninayemzungumzia mimi!!!sasa sijui hili LONGOSHE ni CHOKO/SHOGA...
MoCU ndio Chuo Cha Ushirika cha zamani pale MOSHI??kama ndio unaenda huko basi njoo inbox haraka sana,nina kijana Lectural pale nilisoma nae Makerere University,yeye alisoma Bachelor ya BLIS(Bachelor of Library and Information Studies).Hivyo nadhani kama unaenda kwenye Usaili wa nafasi hiyo ndio...
Hivi unadhani Uhuru atakubali Ruto awe Rais wa Kenya??kamwe hilo halitatokea,Uhuru ni Mtoto wa Mjini kwelikweli,hawezi kukubali Ruto awe Rais maana anajua lazima atakuja kumshtaki.Nakuhakikishia iwe jua iwe mvua Raila ndie atatangazwa Mshindi,mark my words
Code zinasaidia ndugu,Karatu ni Wilaya ndogo,na kwa jinsi alivyomuelezea huyo Binti kwamba ana vichuchu vidogo nami ndio Ugonjwa wangu[emoji2]na kuna vibinti Vitatu sasa nipo kwenye mpango wa kuvila tatizo nakosa muda hivyo ukute pengine hiko nacho ni kimojawapo
Hii ni Kampuni ya Sola inayokopesha mitambo yao ya Sola huku kijijini kwetu Wilaya ya Mpwapwa.
Tarehe 19 mwezi uliopita wa Juni nililipia malipo ya awali shilingi 185,000 ili waje wanifungie Mtambo wao wa Sola nyumbani kwangu lakini mpaka leo tarehe 12 Julai hawajaja.
Kila nikiwapigia simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.