Mwenye uzoefu wamaswali ya interview utumishi kada ya Librarian II anisaidie

Hapo lazima mpige saili 2 Written na Oral.. au nimeguess vibaya mkuu..?
 
MoCU ndio Chuo Cha Ushirika cha zamani pale MOSHI??kama ndio unaenda huko basi njoo inbox haraka sana,nina kijana Lectural pale nilisoma nae Makerere University,yeye alisoma Bachelor ya BLIS(Bachelor of Library and Information Studies).Hivyo nadhani kama unaenda kwenye Usaili wa nafasi hiyo ndio nafasi yake pale,atakusaidia
 
Kama kweli unamaanisha hii ndo misaada tunatakaga humu.. kusaidiana ni muhimu jamani
 
MoCU ndio Chuo Cha Ushirika cha zamani pale MOSHI??kama ndio unaenda huko basi njoo inbox haraka sana,nina kijana Lectural pale nilisoma nae Makerere University,yeye alisoma Bachelor ya BLIS(Bachelor of Library and Information Studies).Hivyo nadhani kama unaenda kwenye Usaili wa nafasi hiyo ndio nafasi yake pale,atakusaidia
Huu ndiyo unaitwa uungwana
 
Nashangaa kuna CHOKO mmoja anaitwa LONGOSHE kaniandikia PM kwamba NIACHE UONGO KWAMBA NATAKA KUMDANGANYA MUOMBA MSAADA!!!wakati huohuo muomba msaada kaniuliza jina la huyo Lectural ninayemzungumzia kamtaja na jina na ndie huyohuyo ninayemzungumzia mimi!!!sasa sijui hili LONGOSHE ni CHOKO/SHOGA linatafuta bwana JF??
 
Back
Top Bottom