Recent content by Nakwenda Kolomije

  1. N

    Hela ya Urusi yadondoka kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Putin aliingiza nchi kwenye hiki

    Ingawaje sikukujibu wewe lakini nawe una tabia zinazofanana na huyo huyo mpumbavu.
  2. N

    USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Unahitaji mshahara au mtaji mdogo sana wa kifedha ili kujikwamua kimaendeleo. Hakikisha upele ukuote ukiwa na kucha, vinginevyo mshahara mdogo au mkubwa hautakuwa msaada wowote kwako.
  3. N

    Je, TAKUKURU hawawezi kufanya kazi bila kuagizwa? Kwa staili hii ni bado sana

    Hiyo taasisi iliundwa iwe kama kinga kwa viongozi fulani fulani na ndio maana haifanyi kazi kwa kujitegemea, haina utofauti na jeshi la polisi.
  4. N

    Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Mnajazana ujinga tu tangu uanze kureport habari za vita Ukraine hajawa na hali nzuri hata kidogo.
  5. N

    KWELI Asali ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja

    Hilo ni swali mleta mada anataka kujua.
  6. N

    Uadui na afisa mikopo Sasa umegeuka ubesti wa kushibana mpaka najistukia

    Unaweza ukakuta na yale ya mama J na huko yamo..??
  7. N

    Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

    Ila ninyi mnaoshabikiaga NATO huwa mnakuwa wajinga sana, mkianza kucomment upuuzi mnaongozana hadi comment za ishirini huko mnaandika upumbavu tu
Back
Top Bottom