Recent content by nakuona

  1. N

    How can i get rid of him???!! Please advise

    Pole sana watu wako tofauti,jaribu kumtambulisha kwa boyfriend wako mpya:)
  2. N

    Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

    Sifuni Mchome ni Mpare! Sasa shida ni kuwa kuna watu hawapendi WAPARE au Wachaga wakapata. Acheni kupiga watu fitna za kijinga.Tujenge nchi na kujitahidi kila mtu na sehemu yake alipo. Mchome ni mtu mzuri sana na anaitumia elimu yake vizuri. Wengine sisi tunamjua vizuri . Acha wivu wewe..
  3. N

    Chikawe amvua nguo Tundu Lisu Bungeni!

    Huyo Lissu sio yule ambaye mke wake anazalia watoto USA ,ili wawe raia wa USA,KWELI kama ni mzalendo mbona wife wake asijifungulie Tanzania kama Watanzania wengine? Pia kuna Waziri mwingine kijana ana mtindo huu...Hawa wanachezea watanzania hawana mapenzi na nchi yetu!
  4. N

    Mbona sioni kosa la Nyalandu ?

    NIMEKUWA mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yanayoendelea huko nyumbani, hasa sakata la Tanapa na Lazaro Nyalandu- pamoja na mambo mengi yaliyosemwa ukisoma gazeti hili la Rai,ambalo limetuwekea barua Nyalandu aliyoiandika kwenda Tanapa. Unaona kuwa Nyalandu hajafanya kosa lolote bali ameonyesha...
  5. N

    Tunaomba Kujua Mchango Wa Diaspora Kisiasa Na Kiuchumi; Kwa Nini Tuwakumbatie?

    Bila kuingia katika malumbano ya kuchafuana,ni jaribu kujibu swali lako moja kwa moja- Vijana wengi walioko nje ya nchi wanachangia sana kwa namna moja ama nyingine kuendeleza uchumi wetu. Hata hivyo zipo sababu nyingi zinazowafanya wasiingie moja kwa moja katika siasa(Uongozi) chache lakini...
  6. N

    Uraia pacha na Tanzania

    Chonde chonde katiba mpya iruhusu Uraia pacha maana watu wengi hapa Ulaya na Marekani wanaotokea Tanzania tushachukua raia za huku kutokana na sababu nyingi sana mfano: -Uhuru wa kusafiri toka nchi moja kwenda nyingine bila visa au misururu ya kuomba visa. - Kupata mikopo ya nyumba na kuendesha...
  7. N

    Wanawake Wa Tanzania wanaoishi Botswana hawafai hata kidogo

    WEWE umesema ukweli kabisa...wadada wa KIBONGO wazuri wakiwa BONGO lakini wakiwa nje ya nchi wananata sana na wanaringa mbaya kabisa.Hapa Ulaya tushawazoea wala hatuwasalimii maana ako radhi atembee na kibabu cha kizungu kuliko mbongo mwenzake. LAKINI ndugu,mke mwema hutoka kwa MUNGU,sio lazima...
  8. N

    Anataka to-do, But No Love Relationship!!

    Achana na huyo dada kabisa ! Tena kaa mbali na yeye. MKE wa mtu ni chakula chenye sumu! Kaa mbali sana!
  9. N

    Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

    Kila kitu ni maandalizi...ukipata mdada kama huyo kwa uzoefu wangu kiasi ni rahisi sana kumpagawisha na akafika anapohitaji kufika. Ni rahisi sana jamaa yangu...Mdada aliyekeketwa unaanza kumwandaa mapema kabisa,unampigia au kumandikia simu ya maneno mazuri ya kimapenzi kutwa nzima,jioni kabla...
  10. N

    Llm

    Asante sana Keagan! Nashukuru sana kwa maelezo yako ambayo yamenisaidia kufikiria njia mbadala. Nashukuru sana!
  11. N

    Llm

    Im planning to study LLM abroad but my bachelor degree is not LLB, Can I qualify to be advocate when I come back home after my LLM master degree? ALTERNATIVE B, I might study postgraduate diploma in law,mediation Arbitration then go for LLM can I reach my goal of become advocate in...
  12. N

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Wadau wote mliochangia nawashukuru sana,maana hili linatugusa kwa namna moja ama nyingine-kama si wewe unaweza kuwa na ndugu,rafiki au mtoto ambaye anaishi au ataishi nje miaka ijayo. Ahsante sana
  13. N

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Mkuu hiyo kitu ni noma sana,inaweza ikawa fungus au ukawa una.alergy ya yeast-kama unawashwa sehemu za haja kubwa nakushauri utumie dawa inaitwa Locoid 0,1 na utumie ifuatavyo: paka asubuhi na jioni kwa wiki moja. Alafu paka asubuhi tu kwa wiki ingine, alafu paka mara 3 kwa wiki inafuatia alafu...
  14. N

    CRDB Bank: What a terrible experience!

    Mdau sisi huku Arusha tulishawakimbia...nasema sisi maana nilikuwa na wenzangu wapatao kama 20 hivi wote tulifunga akaunti zetu mkuu. Japo issues zetu zilikuwa tofauti lakini kubwa ilikuwa ni huduma mbovu za CRDB BANK- mfano hela inatumwa kutoka Ulaya inaingia baada ya siku 20 na ukiuliza...
  15. N

    Wizara ya Maliasili na Utalii

    Kageshike na Nyalandu wanayo kazi kubwa sana ya kufanya katika wizara hii. Wizara hii inachangamoto nyingi sana ambazo tunaweza kama kuelezea kuja vitabu na vitabu. Lakini zifuatazo tutajaribu kuzielezea ili waone kazi waliyo nayo mbele yao. Wazawa wananyanyaswa sana katika sekta ya utalii...
Back
Top Bottom