Dr assad ni jembe na anafaa kbs katika hiyo nafasi tena hata zaid ya anaetoka...ila sasa akichanganya siasa kwenye taaluma yake atajiharibia sana ground na heshima alioijenga hasa kwa wanaomfahamu kuanzia UDSM .ni nzuri sana
Kama report ya CAG inaonyesha tu tkt za ndege zimezidishwa mara 16 na bado mawaziri husika bado hawajawajibishwa ....na bado wananchi tunawaangalia tu!!!nchi hii bwana
Nasikitika sana kuona mzee wetu warioba akikashifiwa na elimu yake kisa hakufanya yale wanayotaka wana ccm.
Akili ya kawaida tu ...wajumbe waliba hati muda mwingi ila baada ya karaa na matusi ndo inatolewa .tulitakiwa kufikia hapa nchi inayosema ina aman na utawala bora pamja na uwazi.
Tujifunze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.