kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Na wabunge wanaotaka serikali 3 ni wangapi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Kitendo cha kumtaja Warioba na si tume, kitendo cha kuwadhalilisha akina Salim, Butiku, maprofesa na wasomi mbele ya TV, umma ukiangalia ni laana ambayo JK ataishi nayo milele.
Tulimweleza mapema awaombe radhi siku ile ile kwani ndio uungwana akakataa sasa anakimbia Uingereza baada ya kuwafedhehesha, kuwanyannyasa na kuwatia madole ya macho wazee wetu.
JK umeidhalilisha tume kuliko alivywahi kufanya kiongozi mwingine aliyetangulia.
Huwezi kumwita Jaji Warioba na Augustino Ramadhani wake meza ya juu halafu uanze kuwavua nguo kwa kuzusha.
Si umesema tume imependekeza majeshi 3, wapi hilo lipo.
Baada ya kuawatukana na kuwadhalilisha akina Salim Ahmed Salim, Butiku na wengine ukarudi Ikulu siku hiyo na kuvunja tume ili wasipate nafasi ya kujitetea. Ukawafunga midomo ili wabaki na aibu ya kuvuliwa nguo.
JK hili utaishi nalo miaka yako yote nasisi tunalaani sana dhalili uliyowafanyia hawa wazee
Elfu 49 nafikiri ni namba kubwa sana kuliko Wajumbe 621 ambao wamejitwisha jukumu la kutuamulia aina ya serikali tunayoitaka!Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
kuzalilishwa cio lazima utukanwe matus ya nguon, ukiambiwa wewe mpumbav tayar umedhalilishwatupe nukuu ya hotuba ya Rais alipofunguwa bunge maalum inayomdhalilisha yeyote kati ya ho unaosema.
.
Ufataani unauweza,
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Hapo ndipo penye shida, kwani kipindi cha maoni si kilishapita? Inamaana kabla hukupata kabisa muda wa kuyatoa maoni yako au uliyatoa yakakataliwa kwa maana pengine hayakuishawishi kamati hadi iyatupe kapuni then uyaokote na kuyapeleka upya katika bunge???? Napata shida tafsiri ya hili!Dar es Salaam.
"Nilitoa maoni yangu ya rasimu kwa sababu ninayo dhamana hiyo… Wao walitaka niseme; wajumbe nimelizindua Bunge. Hiyo haiwezekani," aliongeza Rais Kikwete akiashiria kuwa ilimpasa pia kutoa nasaha zake.
Chanzo: Mwananchi
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.