CPA Module F, Notes, Past Exams and Books- ACCA Materials

mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
Hello wana jamvi Good morning

Kwanza kabisa nafurahi kuona matokeo NBAA yametoka vizuri, kwa wale ndugu zangu ambao mmefanikiwa kuvuka Module E na kuingia Module F nimewaandalia kitu kizuri

-ACCA Course notes for 2014/2015

-ACCA Past Exams (From June 2007 to June 2014)

-ACCA syllabus together with NBAA syllabus for 2014

-Books:

Audit & Assurance Books

Corporate Reporting Books

Performance Management Books

Mambo yote haya matamu yapo kwenye soft copy,na utaweza kuyapata bure kabisa.

Bonyeza Link kupata Mambo Matamu:

http://bit.ly/module_F

Enjoy!

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,823
Points
1,500
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,823 1,500
Ubarikiwe mkuu.
 
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
13,524
Points
2,000
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
13,524 2,000
Thanks Man! Hope watu watauona huu uzi na kuufanyia kazi.
 
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
3,826
Points
2,000
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
3,826 2,000
safi sana mkuu, ila najaribu kuyadownload yanagoma.
 
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
3,826
Points
2,000
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
3,826 2,000
Hello wana jamvi Good morning

Kwanza kabisa nafurahi kuona matokeo NBAA yametoka vizuri, kwa wale ndugu zangu ambao mmefanikiwa kuvuka Module E na kuingia Module F nimewaandalia kitu kizuri

-ACCA Course notes for 2014/2015

-ACCA Past Exams (From June 2007 to June 2014)

-ACCA syllabus together with NBAA syllabus for 2014

-Books:

Audit & Assurance Books

Corporate Reporting Books

Performance Management Books

Mambo yote haya matamu yapo kwenye soft copy,na utaweza kuyapata bure kabisa.

Bonyeza Link kupata Mambo Matamu:

http://bit.ly/module_F

Enjoy!

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
ubarikiwe.
 
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
safi sana mkuu, ila najaribu kuyadownload yanagoma.
Yawezekana eneo upo net iko too slow, nimeijaribu hapa inafunguka vizuri kabisa...I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
C

chikuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
264
Points
250
C

chikuyu

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
264 250
MKUU kwa upande wa AUDIT, hiki kitabu cha F8 AUDIT AND ASSURANCE, kinafaa zaidi kwenye ile audit principles and practice ambayo ni intermediate Level, kama unaweza kupata kitabu cha P7 kimeandikwa ADVANCED AUDIT AND ASSURANCE, kinaweza sana kufaa kwa Final Level, please upload it if you have access to it!!
UKIPATA PIA NA VITABU VYA KAPLAN, SHARE THEM, THEY ARE NICE TOO!!
 
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
MKUU kwa upande wa AUDIT, hiki kitabu cha F8 AUDIT AND ASSURANCE, kinafaa zaidi kwenye ile audit principles and practice ambayo ni intermediate Level, kama unaweza kupata kitabu cha P7 kimeandikwa ADVANCED AUDIT AND ASSURANCE, kinaweza sana kufaa kwa Final Level, please upload it if you have access to it!!
UKIPATA PIA NA VITABU VYA KAPLAN, SHARE THEM, THEY ARE NICE TOO!!

Ok kaka nitafanya hivyo kisha nitawajulisha wadauI'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
T

theoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
378
Points
0
T

theoka

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
378 0
asante sana mkuu mm nimefuzu kupga final na nipo bukoba utakua msaada sana kwangu kama vp weka namba yako nikupe ata vocha umenitia moyo sana MUNGU akuzidishie sana unaroho nzuri
 
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225
mojoki

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
asante sana mkuu mm nimefuzu kupga final na nipo bukoba utakua msaada sana kwangu kama vp weka namba yako nikupe ata vocha umenitia moyo sana MUNGU akuzidishie sana unaroho nzuri
Mkuu nafarijika sana kwa haya maneno, ni zaidi ya vocha kwa kweli

Wajulishe na wengine kaka ambao yawezekana wapo mbali na review classes

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
T

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
62
Points
95
T

TIKEI

Member
Joined Jul 16, 2013
62 95
Lakin why module F tufanye matatu wakat FR tumeaulu? Na mbadala wa FR ni corporate report
 
T

theoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
378
Points
0
T

theoka

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
378 0
Lakin why module F tufanye matatu wakat FR tumeaulu? Na mbadala wa FR ni corporate report
ucjal old sylabus ilikua na mapungufuzu hasa fr most of the topcs were out of date
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
33,279
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
33,279 2,000
Lakin why module F tufanye matatu wakat FR tumeaulu? Na mbadala wa FR ni corporate report
mbadala wa conte ni corporate reporting. hukuifanya ndio maana unapaswa kuifanya...
 
aloycious

aloycious

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Messages
5,570
Points
1,500
aloycious

aloycious

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2012
5,570 1,500
Unastahili zawadi aisee!
 
P

payton

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2014
Messages
394
Points
250
P

payton

JF-Expert Member
Joined May 1, 2014
394 250
Ninashida ya notes za foundation stage msaada plz
 
nakowisia

nakowisia

Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
9
Points
0
nakowisia

nakowisia

Member
Joined Mar 20, 2014
9 0
Dah...!real thanks mate .ubarikiwe sana na uwe na moyo huuu mpk mwisho.thanks
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,601
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,601 2,000
Natafuta kitabu cha Clinical Pathology..
 
Forum statistics

Threads 1,306,587
Members 502,165
Posts 31,584,754
Top