Recent content by Nakar

  1. Nakar

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na biashara ya Bitcoin

    Nafrai sana na XRP leo.. ikifika hata dola 50. tu nauaga umaskini.. crossing everything.. Holding..
  2. Nakar

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Forex ya Ontario

    Kuna kitu kinaitwa FOMO (fear of missing out) wakimaliza training tu, ontario anawabadilishia game to cryptocurency.. h ahahah. Kila mtu anahamia huko..
  3. Nakar

    JamiiForums Tanzania Forex trading short course

    Mimi nemetrade forex kwa kama miezi Sita na nlikua nafanya part time. Nilikua napata pesa ya kulipia ki apartment changu.. didn't fully go into it. Lakini I took time to learn about it. Kua tend hiyo course for 2 to 3 hours haitatosha ila Kuna vitabu online na videos on YouTube on how to trade...
  4. Nakar

    JamiiForums Tanzania Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

    We bokonyo ungejua kusoma ungekua unazijua hizo kauli alizitoa lini na wapi.. use your head. Nani akuletee.. tafuta mwenyewe
  5. Nakar

    JamiiForums Tanzania Watanzania gani wenye IQ kubwa zaidi?

    Hua tuna Pima Kiwango cha IQ kwa kuanzia hapa.
  6. Nakar

    JamiiForums Tanzania Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Nirekebishe kidogo tu, Marekani hawatutegemei kiuchumi. Hatuna resource ambayo tunayo sisi tu na mmarekani Hana for the next 50 years.. mmarekani Ana mafuta kuliko mwarabu anaechimba.. hatuuzi hatununui kwa mmarekani.. huyu Jamaa hajui impact ya kauli zake ..
  7. Nakar

    JamiiForums Tanzania Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Alafu mugabe alianza kama utani, mambo yalivyoshika hatamu akaona noma to swallow his pride.. tuendelee na ushabiki tu..
  8. Nakar

    JamiiForums Tanzania Baba yetu anajenga magorofa, ananunua viwanja, miradi mikubwa ila tunakufa njaa

    Huyo baba yenu namjua, si Mkali Mkali hivi hashauriki? Namjua Bana, Kuna kipindi maza wenu alitaka kusepa sababu ya tabia Za mshua wenu hasa kutokufata ushauri, mshua alivyokauzu akasema asepe tu? Si ndo huyo alitakaga muhame muamie kijijini zaidi ya hapo? Namjua aisee..
  9. Nakar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tufahamiane tuliopo miji mbalimbali duniani

    Grand Rapids Michigan
  10. Nakar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Ulipoanza tu kusisitiza we ni mtu mzima na akili zako nkajua tu we ni punguani.. sikuendelea kusoma
  11. Nakar

    JamiiForums Tanzania Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

    Huu ndo mpango mzima
  12. Nakar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gari yangu kukata kiuno

    Cheki wheel balance nlikua na shida hiyo kwa gari hiyo hiyo
  13. Nakar

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa ukweli kuhusu ndoa za siku hizi

    Article: We need to have a frank discussion about marriage We need to have a frank discussion about marriage | Tauriq Moosa | Comment is free | theguardian.com
  14. Nakar

    JamiiForums Tanzania utabiri 2014:|:KIONGOZI MAARUFU KUGEUKA CHIZI

    Huo ni utabiri au ni comment katoa? Sijaelewa kidogo
  15. Nakar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenz wangu anajini jaman ,,,,,,,,,,cjui ni mchawii.....?

    Huu ni uongo mtupu...
Back
Top Bottom