Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 986
Mkuu, umelenga penyewe. Minadhani atakua invisible huyuhuyu tunae mfahamu.
Ahahahaha nyie muna utani wa ngumi dah!
Mkuu, umelenga penyewe. Minadhani atakua invisible huyuhuyu tunae mfahamu.
HII hali inanitisha na kuniogopesha sana ..nina mda wa miez m3 na mpnz niliye naye sasa...na nnampenda sana ila kila siku upendo wangu unazid kushuka kutokana na kutokuwa na elimu juu ya hayo mambo maana kla baada ya sku 2/3/4 anweza akaondoka(anabaki mwil tuu) ucku na akirud ansema alkuwa kwa rafiik yke anaitwa maimuna...mwanzoni nilikuwa naogopa sana ila kunasiku nilmbana aliniambia ukwel woote jjuu ya hlo dubwasha..Ndipo nikajua kwamba ni jini na si mchaw, kuna watu baadhi waliniambia laweza kuwa jini na wengine wakasema atakuwa ni mchawi .huyo mwanamke me siishi naye nilikuwa na mazoea ya kulala kwake siku 4 mfululzo..ila baada ya kuexperience hay o mambo nikakata mguu kabisa na mawasiliano nikapunguza kwa sababu huyo jini aliwah kunitisha na kumtaka yule m/ke awe(kimapenz) na rafiki yke aitwaye yusuph...ila alikataa ndio chanzo cha mimi kugopa kabisaaa maana niliogopa kuweka bifu na hivyo v2..... jaman nashindwa kukielezea kisa hiki vzur kwa sababu ni kirefu kdogo na mimi sina weledi ktka uandishi ila nnachowaomba n ushaur tuu huenda nikapata zaid ya nilioupata kwa marafiki na ndugu+shehe....niendelee kumpotzea hiv hiv japo yy hatak suala la kuachana kabisa ...anasema yeye ndio mwenye maamuz kat ya mimi au yusufu ...hawezi akatembea na jini.....japo kuna siku MAIMUNA alimwambia utakuja juta maana tabia yake sio nzur kwamba nina m/ke zaid ya yeye,alichonisihi yule m/ke akasema me sijali alichokisema ila nisitoke nje ya penz lake maana nikitoka hazma yake itakuwa ime timia.....nipo njia panda jaman...nifanyajee hap0????

Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
Ahahahaha hapana bhana
yesu alikufa kwj ajili ya wadhamb, na hakuna innocent undr the sun.., nafasi ya kurud kwa yesu bdo anayo. YESU NI JIBUHivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
ww acha ujinga
km upo dar n pm nikupeleke kanisani ww tena ht leo au nikuelekeze uende mwenyewe utaniambua km litabaki jini hapo
na hyo mwanamke piga chini tena shukru hawajakupeleka kuzim ww
usiogope tumepewa jina 1 tu Yesu
Aiseee jf kuna vituko. daaaa sijui umefikiri nini?Komaa nae mkubwa! Huyo yusuph akimchukua na kakuachia mwili wa huyo demu, wewe ugegede huo mwili uliobaki!
Kama mbwai mbwai tu!