Recent content by NAJYUZ

  1. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mwanangu kanda.. Hakika siku yako imefika.. Ukawe mtumishi mwema brother..pia usiache kuja kuwatia moyo wapambanaji wote humu.
  2. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    Mkuu we si Deputy Head of department ya Account and Finance katika halmashauri ya hapo wang’ing’ombe? Unashindwa nini kula deal na Afisa ugavi katika deals za miondombinu ya madarasa mapya na vyoo vya shuleni..ili upate hizo hela ambazo you are dreamimg.
  3. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    National Institue For Medical Research.[NIMR] Hii ni taasisi ya serikali inayojihusisha na maswala ya tafiti za tiba mbalimbali.
  4. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera mzee,Mimi najiandaa na ya NAOT kwanza..,Then MDA and LGA na ya Hazina
  5. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hamna mwananagu Finance na Accounting ni pana sana,we gonga msuli..
  6. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Received 10!..sio 3?
  7. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Finance Management officer II by Hazina sio?
  8. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapo juu si ulisema unataka ujiandae na interview.
  9. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema Haya mambo bwana yanaenda kwa “zali la mentali”,siku yako ikifika hutumii nguvu nyingiiiiiii.
  10. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu unajiandaa na usahili wa kada gani?
  11. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Nisaidieni link Jamani
  12. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Naombeni link ya ku stream live..
  13. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta has totally changed our life.. Rivals wetu wamegeuka kua motivational speakers.. Everytime scare us about Madrid..Mpaka Sasa they don't believe Modric,Jude na Camavinga were pocketed na Partey.. Leo tena tunaenda kupiga pale pale panapouma.🫣
  14. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

    Nipeni link ya match wakuu.
  15. NAJYUZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Walimu wanaendelea kulamba asali..huku taasisi mbalimbali hola.
Back
Top Bottom