Recent content by naisha nasri

  1. N

    Kwaheri Tanzania, nahamia Zambia kodi katika biashara imeniondoa nchini

    Ukikosa pakufikia wasiliana nami,wish you all the best
  2. N

    ELIMU BURE: Hivi ndivyo Polisi hutrack na kunasa watu kwa njia ya Mtandao.

    Line yangu ilipelejwa Cyber na baadae nikarudishiwa,je haina madhara yoyote nikiweka kwenye handset nyingine?Je naweza kuendelea nayo au nitupe?
  3. N

    WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

    Unajipa moyo na vitu vya ajabu ajabu,Kim Un mwenyewe amesoma English mwanzo mwisho sembuse wewe.
  4. N

    WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

    I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute. I have also noted that the only guys who contribute using English are men not in the driving seat in political arena.
  5. N

    Siku tatu kutoa mahari nakutana na meseji anaomba pesa kwingine

    Kama kichwa kinavyo jieleza, Mpemzi wangu simu yake ilikua na shida nikaamua kumpa handset yangu ya spear. Baadaye baada ya kumtafutia simu nyingine ilibidi arudishe niliyomuazima, cha ajabu kasahamu kudelete text za kuomba pesa kutoka kwa mtu wake mwingine, wakati najipanga kwenda kutoa mahari...
  6. N

    NASA wanamatatizo gani jamani?au wameshashindwa kabla

    Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC, Nadhani kuna kitu...
  7. N

    PICHA: Wazazi tukomeshe tabia hizi kwa watoto wetu, kizazi kinateketea

    The problem here is not the little angel. The problem is those idiots dressed like demons.mtawaonea watoto tu kwani mtoto akioneshwa uchi kosa lake lipi akiangalia?
  8. N

    Mtu wangu anapelekwa kupeleka CV Mei Mosi

    Nina imani Mungu amewaamusha salama. Jana jioni nilipotoka kwenye mizunguko yangu, nikajipumzisha sehemu na mtu wangu (ke)mahali. Mtu wangu ni mmoja wa vijana walio kwenye harakati za kutafuta kazi. Katika discussion zetu tukajaribu kupanga ratiba ya hii long weekend.Ghafla nikajikuta nipo...
  9. N

    Huyu mrembo simuelewi kabisa

    Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu ya kwenda hostel coz at times she...
  10. N

    Kuota unaokota hela tena coins ina maana gani?

    My mind tells me that ukienda kunya it's because you have consumes something the same applies ukiwa unakjoa. Issue ya mdoto haiendani na ulivyosema.
  11. N

    Brand za mavazi kama GUCCI, CALVIN KLEIN na VERSACE watanzania hatuzijui au hazitufai?

    Hizo brands ulizotaja kwa maono yangu naona zinaendandana sana na class ya mtu au watu, angalia nchi ulizomention na watu wake.
Back
Top Bottom