Tsh 1M = Ksh 50k
Yani elfu hamsini ndio pesa inakushtua bro? Mshahara wa fundi mawe? This is literally what I pay my Fundis on site. Ukiingia kampuni kubwa kubwa they earn almost double this.😅😅😅
Yani bongolala ni warahisi sana kudanganywa ndio maana tunawaita bongolala. Yani hivi wewe ukiskia media euphemism unameza tu kama mtoi hata huwezi angalia logic yake? Hivi Mchina atahitaji nini kutoka kwa Mtanzania in terms of technology ndio amshirikishe kwa mambo ya technology? Usaidizi gani...
Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
Kuna angle ya Darislum wanapenda kuipiga sana, wanaipigia aerial view pale Masaki inachukua Oyster Bay yote had ile Tanzanite bridge na zile mitungi tatu kwa background. Hii picha ukiongeza tu cable stayed bridge imepiga kile ki angle chao 10-0. 🤣 🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.