Recent content by NAIPENDA TANZAN

  1. NAIPENDA TANZAN

    Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. Mtikila

    Hujui lolote kuhusu KAGAME na MSEVENI. Alichokiandika Mtikila amekifanya utafiti wa kinawala hajakurupuka.
  2. NAIPENDA TANZAN

    Baada ya kuimaliza NCCR, Marando sasa aanza na CHADEMA

    umejitahidi sana kumchafua Marando kwa insha hii, lakini umeshindwa kutofautisha alichokifanya huko NCCR na anachokifanya CHADEMA. kwa maneno yako umeandika kuwa alitaka kuwang`oa akina Mrema na hao wengine uliowataja, katika uongozi wa NCCR. Kwa maneno yako pia umeandika kuwa huyu Marando...
  3. NAIPENDA TANZAN

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Wewe hujui unachokisema, NSSF hawatoi mafao kwa watumishi wa umma. Ni vema ufahamu kuwa NSSF ni mfuko wa wafanyakazi wa sekta binafsi ambapo hata watu waliojiajiri uwekeza/uweka akiba katika mfuko huu.
  4. NAIPENDA TANZAN

    Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    unamfahamu vizuri Bill Gates wewe?
  5. NAIPENDA TANZAN

    Kikwete safarini TENA!

    Alisema mwenyewe kwa mdomo wake "ukitaka kula lazima nawe uliwe" nadhani sasa ni zamu yake kuliwa. Anaenda kuliwa huko Canada.
  6. NAIPENDA TANZAN

    Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini?

    Huyu, Lusinde ni janga la taifa kama ulivyo ugonjwa wa ukimwi. Jitihada zinahitajika kumuondoa bungeni. Binafsi ninajitolea rasmi kuanzisha nguvu ya kumfuta bungeni 2015.
  7. NAIPENDA TANZAN

    Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

    Nadhani mimekuelewa vilivyo mkuu, unamaanisha safari za kwenda Lilongwe zitaongezeka na kusababisha hasara kubwa kwa nchi yetu. ohooo, Si unajua tena jamaaa na vimwana. au? ahaaaaaa!!!!!!
  8. NAIPENDA TANZAN

    PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

    Ipi habari njema kuliko hii? Ukombozi unakaribia.
  9. NAIPENDA TANZAN

    Ufafanuzi wa hotuba ya "upotoshaji" ya Zitto kwa watanzania waishio Marekani

    Ni wazi kuwa wewe uliyeandika makanusho ya ukweli aliousema Mh Zitto ni mtu uliyeshiba wala huna njaa. umejitosheleza kwa kila jambo kutokana na kodi za watu (watanzania) masikini. Kushiba kwako kumekufanya ulewe na kushindwa kutembea hata umbali wa kilomita tano kutoka hapo unapopaita makao...
  10. NAIPENDA TANZAN

    CV ya Dickson Maimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

    Ndugu Dickson Maimu ni miongoni matanzania wanaofaa kutolewa mifano, ni mzalendo sana. Tukio la hivi karibuni alilolifanya kwa kutoa taarifa sahihi za uozo uliopo kwenye majeshi yetu ni kitendo cha kijasiri na cha kizalendo kinachostahili kuigwa na kila mtanzania. Ebu fikilia vyombo vinavyoitwa...
  11. NAIPENDA TANZAN

    Porojo za RC wa Dar!

    Umenivunja mbavu kwa utani huu. Mtafute mtu mmoja anayeitwa Masaburi, nadhani anaweza kusaidia kutueleza huyu mkuu wa mkoa wa dar anafikilia kwa kutumia kiungo gani cha mwili wake.
  12. NAIPENDA TANZAN

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Dr, Dk!!!!!!!!!! MBA Finance. Mbona Mzumbe inatumika vibaya? Wanasiasa wengi waliopitia pale wana kasoro kasoro kwenye PhD zao.
  13. NAIPENDA TANZAN

    Prof. Costa R. Mahalu VC Bagamoyo Univesity

    Kiko Bagamoyo, ni mali ya LHRC.
Back
Top Bottom