PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.

Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.

Endeleeni kujidanganya.

Naona kama unatamani kujamba vile
 
Endeleeni kuhangaika na uharakati wenu. Mwisho wa siku sisi ndio tunaendelea kuishikilia dola. Haya mambo yapo miaka yote, but CCM imeendelea kutawala. Endeleeni kujifariji hapa JF

R.I.P CCM, I love Tanganyika.
 
Aluta continua CDM. Hakikisheni moto haupoi ni ule ule hadi 2015! Kumbukeni ushauri wangu wa kufanya Fund raising mapema nje na ndani ya nchi!! I hope you have the Fund rasing strategy by now. Pokea 5,000 toka magambe kura CDM!!
 
Wamachinga wamechoka na magamba kazi kwenu "chukua chako mapema"
 
chadema n chama chenye mising na mizi unawza kukifanansha na TANU KWA tz kwna kina miaka20 ya kukua je chama cha mrema kilikua na miziz kama ya cdm,jua ktofatisha au uko kwenye neopatrimonial politics za CCM,UMEFEL KIJANA
 
Endeleeni kuhangaika na uharakati wenu. Mwisho wa siku sisi ndio tunaendelea kuishikilia dola. Haya mambo yapo miaka yote, but CCM imeendelea kutawala. Endeleeni kujifariji hapa JF

Rejao aliyekuumba atakuwa alichamganya vitu kama yule daktari wa muhimbili aliyempasua mgonjwa kichwa badala ya goti. Mod unaonaje ukiandaa mkutano wa wana jf ili tufahamianae maana wengine are so interesting
 
Rejao na ritz wanavichwa vigumu,hata picha awaoni
 
Kweli Mbowe ni jembe. Come what may, atatufaa hasa kwa u Pinda.
 
Mbowe+kuuza+kadi+2.jpg

Wonderful, wonderful image of incredible footwork of the chair of the party out in the field cementing the pillars of the party in the country's hinterland.

Sasa cha ajabu, nenda ofisi yeyote ya CHADEMA waambie mimi naitwa Peter bin Sultani naomba kununua kadi ya chama, uone hiyo red tape itakayokukuta. Lakini hapa kadi zinagawiwa kama njugu, how come? Mimi walinirudisha "kalete passport size mbili," makao makuu Kinondoni, nikawauliza nyinyi hapa hamna hata kimeo cha kamera ya kichina mnipige picha halafu muiingize kwenye computer? Hawana! Unadhani nikiondoka hapa nina muda wa kurudi kuleta picha? Wakabaki wanang'aa ng'aa macho.

Kwa hiyo siku watakapokuwa madarakani utakapoingia kwenye ofisi ya serikali ya CHADEMA utakutana na urasimu just as well!

One day, Just one day.................................... we will be there to witness.
Mungu Tusaidie

Aaamen! and how visible that day is...just there - around the corner! but lets keep the tide up and never give up! kumbuka towards the end its where we must peddle more to win big and resounding!
 
Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.

Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.

Endeleeni kujidanganya.

What a childish comment - pole sana
 
Wengi wa waliohudhuria 2015 watakuwa hawajafikia umri wa kupiga kura; labda wawashawishi wazazi wao
 
Endeleeni kuhangaika na uharakati wenu. Mwisho wa siku sisi ndio tunaendelea kuishikilia dola. Haya mambo yapo miaka yote, but CCM imeendelea kutawala. Endeleeni kujifariji hapa JF

Mh! ukiwa na roho ngumu kama ya paka ni hatari sana...hata unapoona kuwa mbele ya safari ni giza na bado unajifariji kuwa utafika, ni tatizo kubwa lenye kuhitaji msaada! hii coment inadhihirisha namna gani Nape atakuwa na wafuasi wachache bado wanaolilia chama kisife ilhali wakijua kuwa kimeshakufa....psychological intervention is very much needed here!
 
Back
Top Bottom