Recent content by naipenda nchi yangu

  1. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Pole sana,badili kambi kujiua sio suluhisho.
  2. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

    Urais sio nafasi zinazoweza kushikwa na kichaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

    Sio kila mtanzania,sema mi peke yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

    Daa,hapa hatujadili hoja bali tunajadili vyama. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Hata kama una haki....

    Kuna uwezekano mkubwa chadema kumpoteza Ben maana mi DJ mi simwamini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Mwanamke alimejifungua Mtoto japokuwa hajakutana kimwili na Mwanaume.

    Huyo mwanamke ni mwongo.Razima atakuwa aliabudu kitandani mara kadhaa
  7. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Neno la hekima: Usiwe mwepesi kumsaidia mwanamke

    Kaka, toa maoni yako kutoka moyoni mwako. Usifikili demu wako atakuacha kwa kusoma ulicho comment
  8. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mwalimu aondoa madawati na kuanza kuishi darasani, asema amechoka kuishi uraiani

    Hongera sana Mwl. Umefanya vizuri maana walimu hawana posho ya pango la nyumba kama maaskali. Na serikali haina mpango wa kuongeza mshahara.
  9. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Walimu mnafaidi sana,Wivu sina ila Roho inauma.

    Miaka 30 inakusubili. Ogopa mwanafunzi wa shule na mke wa mtu. Msubili aingie chuo.
  10. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Neno kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop Gwajima kuhusu yanayoendelea nchini kwa hivi sasa

    Inaonekana yuko bize na mambo ya siasa badala ya kuwa bize na maombi na kusoma neno. Angekuwa mwanamke angekuwa anaketishwa mbele ya vikao Vya wamama kwa maonyo.
  11. naipenda nchi yangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    Okoka uwe mwanafunzi wa Yesu na uowe mke mcha Mungu. Uwe bize na kazi za kiuchumi.
Back
Top Bottom