Huu Uzi unafaa kwa walio oa na wasioa,pia kujali kuwa hata wadau tunao Mama zetu na Dada zetu,ngoja nikupeni kwa kifupi kisa hiki - Leo ni Siku ya 7 ya maumivu yangu,nimeporwa pikipiki Boxer MC 692 PBL ,RANGI NYEUSI ,na mchumba niliyedumu naye kwa muda wa Mwezi 1,licha ya kuwajibika kwake kama Mume mtarajiwa nilimwezesha kumlipia BILL ya kula Milo 3 kwa siku na Bia 4 kula siku ili kumrahisishia uwajibikaji katika yake ,lakini pia nilimkabidhi hiyo pikipiki ili akusanye mapato kila kutoka kwa huyo Dereva wa hiyo bodaboda kiasi cha 70,000TZS na kumruhusu atumie fedha bozo kadiri atakavyoona inafaa,pamoja na hivyo wiki ya pasaka ya Mwezi huu nilimkabidhi Laki 9 kwa ajili ya kulipia Kodi ya Nyumba ya kuishi ili ahamie makazi mapya,.Jambo la kushangaza Tarehe 21-04-2017 ametoroka na Dereva wangu wa hiyo BOXER NAMBA MC 692 ,Wamesepa kusikojulikana,.Kwangu mimi at the maximum nakubaliana na mtoa mada.Pia naombeni msaada wa kunipa taarifa mukiiona hiyo BOXER - RANGI NYEUSI - NAMBA - MC 692 BPL,Tuwasiliane kwa namba 0655 562 854