Recent content by naiman64

  1. naiman64

    Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Wanawake wengi tunajua hili kwambe me wakikukosa tu wanakutangazia kuukwaa ili kuogopewa Tena huyo alikupenda Sana Mimi huwezi kunipeleka kuoima kila kukicha nakuacha, maana huniaminu
  2. naiman64

    Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Aliyekuambia yaliishia hapo nani? Hadi anakufa yupo mafichoni, Tena kuna mwaka Irani ilipigwa na Tetemeko la Ardhi (Earthquake) la nguvu ikabidi wapate misaada sehemu mbalimbali diniani na Rushdie akiwa mafichoni alitoa msaada huko Iran 😀😀, Iran walipokea msaada wake na kumwambia Fatwa iko...
  3. naiman64

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Interview itakuwa imekuvuruga wewe, aliyekuambia.Dodoma hakuna usafiri wa usiku nani? Kwamba ulifika stendi ukauliza wauza maji na matunda kwenye mabasi wakujibu wakati Hadi unamuuliza hajauza hata chupa.moja akujibu nini? Labda nikusaidie hakuna mkoa wenye usafiri mwingi Kama Dodoma, hapa hapa...
  4. naiman64

    Musalia Mudavadi: Kama wewe ni Mkorofi Kenya na ufikiri utafanya hivyo kwenye nchi nyingine My Friend haitowezekana

    Nimesikitika Sana kuwazuia uwanjani wangewaacha wafike mjini, halafu wawategua viuno warudi kwao na POP (Plaster of Paris) viunoni, ya kwao yanawashinda wanakuja kutafuta umaarufu Tanzania, watuache yetu tuyamalize wenyewe, ukisikia viherehere ndio hivyo, najiuliza nyumbani waliagaje (waliaga vipi)?
  5. naiman64

    Nimepigwa na butwaa

    Siwezi kushangaa maana kila nyumba ina malezi yake
  6. naiman64

    Nimepigwa na butwaa

    Ndio mjue tumo, mwenzio alimtukana baba yake, akagundua aliyemchamba Jana JF ni baba yake, mwisho kilichokufanya ushike simu ya mama yako ni nini huo nao ni utovu wa nidhamu
  7. naiman64

    PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    Ndio maana Dogo M bukinabe hataki huu ujinga, Palestina, Sudan na sehemu zingine raia wanauawa kila siku makumi kwa mamia hawaongei kitu zaidi ya kuwasaidia wauaji leo Tanzania.mishipa imewasimama halafu wengine wanashangilia, badala ya kujiuliza kulikoni? hawa hawana lolote zaidi kutetea...
  8. naiman64

    Kilichotokea Ofisi za CHADEMA Nyasa ni Shambulio la Kigaidi la silaha za Kikemikali lilolenga mauaji ya Halaiki

    Na uchaguzi ukiisha muendelee kuwaita CCM magaidi, sio baada ya uchaguzi muanze Islam, Islam
  9. naiman64

    Mzazi atabaki kuwa mzazi

    Rafiki napenda Sana vitoto vikiwa na.mama zao haijalishi binadam au kiumbe chochote wote bado ni watoto na tabia zao mara nyingi zinafanana
  10. naiman64

    Nakukemea Freeman Mbowe

    Inauliza jibu?
  11. naiman64

    Nakukemea Freeman Mbowe

    Mlidhani kuongoza chama ni rahisi?
Back
Top Bottom