Mfano wako hauendani na kinachosemwa au ujadiliwa hapa. kwa hiyo Raisi watu wake ni wa CCM tu?...inasikitisha sana kama watu tuna akili na mawazo ya namna hii.
Na hilo pungufu ni baya zaidi ambalo linaweza kuleta matatizo huko mbele na maendeleo yote anayojimwambafai nayo yakawa hayana maana. Mlio karibu mwambieni hayo maneno hayafurahishi kwenye mioyo ya walio wengi
Huwa siwaelewi watu ninyi...wakati ule serikali ya awamu ya nne ya JK inatuambia kuwa umeme wa gesi ndio suluhisho na kwamba tutauza umeme nchi nyingine mana gesi ipo ya kutosha mkatumia maneno haya haya mnayoyatumiia leo kwa mzee JPM. Siku akiondoka madarakani kukawa mradi haukuleta matokeo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.