Ni kweli usemalo, lkn una uhakika gani kama ulivyoelewa ww ndicho alichokuwa akimaanisha mkuu? Ulimuuliza? Mm nadhani hii ni hoja huru kila mtu aliyemsikia Mwl ana uhuru wa kueleza alichoelewa na si kweli kwamba ww uko sahihi kuliko wengine juu ya hili.
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake lazima wazae, na hawawezi zaa wenyewe lazima wazalishwe! Mbona mm sioni tatizo katika hilo? Wazalishwe jmn ndo amri ya Mungu kuijaza nchi kha!!!
Mm nakubaliana na hili na pia nakataa! Nakubali kwasababu tu lisemwalo lipo! Na ninakataa kwasababu hizi,
Kuna watu wanayapa mapenzi asilimia 80 ya maisha yao ya kila siku na inayobaki ndo ya mambo mengine. Mwisho wa siku unakuta ufanisi wa kazi haupo, utafutaji hela unakuwa mdogo hatimae...
Ndoa zitazidi kuvunjikana wanaume mtaoa ndoaza aina zote zilizopo kama hamtajitambua na kuchukua nafasi zenu mnapooa! Wanawake wamechukua nafasi za wanaume kwenyendoa nyingi sn zinazovunjika sababu kubwa ni hy! Unakuta mwanaume anarudi hm saa sita usiku kalewa balaa, hakuna anachotimiza kama...
Habari zenu wana MMU!
Naomba tusaidiane juu ya hili jmn. Kwann ndoa za siku hizi hazidumu? Ni kukurupuka au ulimbukeni jmn? Ndoa hata mwaka hazimalizi?
Naomba wenye productive ideas wakaribie tuwekane sawa juu ya hili.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.