Wasichana hamjitambui

Wasichana hamjitambui

Nasema wazalishwe tu maana hakuna namna.
 
mwakibolo

Yamekukuta wewe!
mbona unaongea kwa uchungu? ulikataliwa akakubaliwa nyangema ndio maana unawika hapa!
 
Last edited by a moderator:
mh pole sana mkuu ila unapaswa ujue hawa watu ni ulimwengu mwingine kabisa tofauti na uliopo wewe, ukiijua tofauti kubwa sana iliyopo kati yako na mwanamke utawatumia sana.
hawa watu wanatraits za kushangaza sana hasa kuhusu mapenzi,
ukiaenda serious ujue kumpata labda Mungu aamue lakini asilimia kubwa utapigwa chini wao ndo wanaamini kuwa UNAPRETEND!!!:A S confused:
ukijiweka kama pastor napo utapigwa chini hata kama washinda , wakesha ukisali utapigwa chini tu duh
ukienda hauko serious unaweza mla hata vice prezdent hawana chao hapo coz utadanganya kila kitu na yeye itakuwa ndiyo tu hatari kweli
inashangaza sana hawa watu ukifanya mistake moja at the beginning imekula kwako utapigwa chini tu hata kama unajielewa vipi
by the way hawa watu hata kama anamiaka 60 kwenye mapenzi ingia kama unatongoza under under 20 simple tu utatumia mno
jifunze kuwajua hawa watu hautakuja kulalamika jf tena.

Hapo hakuna ubishi,inaonekana wewe ndo mwalimu wa psychology yao.
 
Mapenzi upofu,unaweza penda pasipo na kujuta baadaye hata kwa wanaume hivhiv
 
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake lazima wazae, na hawawezi zaa wenyewe lazima wazalishwe! Mbona mm sioni tatizo katika hilo? Wazalishwe jmn ndo amri ya Mungu kuijaza nchi kha!!!
 
Good intentions never win.............(refer: JOE THOMAS- GOOD GIRLS)
 
Kweli kabisa mkuuu wasichana wa sasa hivi wanapenda kuchagua sanaaa wakati hawajijui wao ni kama kipeuo cha pili mwaka mmoja kwa mwanume kwao ni kama miwili. Heri tuliokwisha tukifanikiwa na wake zetu wanaanza kutumezea mate na kututega washidwe na kulegea
 
kweli akili sio maarifa.mkuu inatakiwa ujue wanawake wanapenda nini siku zote,la sivyo utaumia.
 
Tatizo kubwa lililopo ni kwamba huwezi ingia moyoni mwa mwenzako na kujua anawaza nini.huwa tuna jaribu tu kukisia kwamba huyu ananipenda kwa kuona matendo yake na kauli sake.wakati mwingine huwa za kweli na wakati mwingine si za kweli.kwa vile hatuna uwezo wa kuona ndani ya roho na akili yake ndo maana matatizo kama haya ya kukataliwa na usaliti yanazidi.hata tukitukanana na kulaumiana hapa haisaidi.kwanza kama kulalamika wanawake ndo tungekua tunalalamika zaidi kwasababu ndo huwa tunatendwa zaidi.tukianza kutukana jinsia tofauti na ulonayo ujuwe hata watu Wako wa karibu pia wanakua included.ukisema wanawake hata mama,dada shangazi zako pia ni wanawake na ukisema wanaume Baba kaka wajomba pia wanakua included.kwa hiyo tulaumu lakini tuwe na mipaka kidogo.inauma lakini ndo hivyo mapenzi hayana formula.usikate tamaa utampata ambaye mungu amekuandikia wewe.
 
si ndio mana mnajifanya mnapendwa, kumbe unapotezewa mda matokeo yake unazalishwa na kufanywa dekio huolewi unabaki unamlilia MUNGU kumbe wewe ndio chanzo, mm nasema MF.I.LWE tu bz mmetaka wenyewe kama wewe hvi

Mkuu kamuone mwanspsycholojia uondoe hiyo fikra kichwani. Mjini hapa hela huna na bado domo zege ukisingizia upole. Wewe mapenzi kafundishwe upya. Tafuta hela uone na huo upole watakavyokuzunguka.Ila malizia kwanza shule. Seems your too young on that issue.
 
walikua wananjibu mbovu zamani nlivyokua sina hela ila saivi nagusa tu na kuwaacha, wale wanaonringia mwanzon wakigundua nna kazi wanajileta nao nawapindua na kuwaacha

Sio kila mwanamke wewe anashobokea vijisent hivyo bas tu wanawake weng hawatak kuwa independent ndo maana mnawafanyia hivyo
 
Back
Top Bottom