1. Adultery
2. Abuse: Physical, Verbal, Emotional,
3. No Communication
4. No Trust
5. No Honesty
6. No Commitment
7. Money Issues
Kivipi?sababu ni sisi wenyewe.....
Kivipi?
Wakuu,
Jamani nimejaribu kufanya tathmini ndogo sana ila nimegundua ndo nyingi siku hizi hazidumu kwa nini? nimegundua sababu kubwa inayofanya ndoa kutodumu kwa muda mrefu je, wewe umegundua?
Actually mimi naichukulia very positive, zamani kulikuwa na misingi ya ndoa ambayo ni tofauti na mapenzi, wake kwa waume walipenda kusifiwa kwa kukaa muda mrefu kwenye ndoa so walikuwa wanavumilia hata machungu yawe vipi lakini siku hizi wanawake tumeelimika, wanaume they dont give a damn sijui they are married or divorced, <hapochacha> kama hakuna mapenzi hakuna ndoa ukinicheat nakusamehe ukirudi imetokaa hiyo nacofirm hakuna kitu naanza mbele kusaka mapenzi LOL...<bittertruth>
Habari zenu wana MMU!
Naomba tusaidiane juu ya hili jmn. Kwann ndoa za siku hizi hazidumu? Ni kukurupuka au ulimbukeni jmn? Ndoa hata mwaka hazimalizi?
Naomba wenye productive ideas wakaribie tuwekane sawa juu ya hili.
Karibuni.
Eti wanawake mmeelimika...!! Kutohimili mikiki ya ndoa ndo useme mmeelimika...!!??? Kweli ndo maana hazidumuActually mimi naichukulia very positive, zamani kulikuwa na misingi ya ndoa ambayo ni tofauti na mapenzi, wake kwa waume walipenda kusifiwa kwa kukaa muda mrefu kwenye ndoa so walikuwa wanavumilia hata machungu yawe vipi lakini siku hizi wanawake tumeelimika, wanaume they dont give a damn sijui they are married or divorced, <hapochacha> kama hakuna mapenzi hakuna ndoa ukinicheat nakusamehe ukirudi imetokaa hiyo nacofirm hakuna kitu naanza mbele kusaka mapenzi LOL...<bittertruth>