Wanawake wengine ni mumiani

Wanawake wengine ni mumiani

Bujibuji umekutwa na maswahibu gani kwani..? Maana Mamndenyi kaniambia juu juu tu kwamba ulikumbwa na timbwili.. Nikiuangalia na uzi wako huu ninazidi kuwa na shaka huenda ni kweli unazidi kuning'inizwa lol..
 
Last edited by a moderator:
ndyoko busara zako zinahitajika Kwenye Uzi huu
 
Last edited by a moderator:
Mm nakubaliana na hili na pia nakataa! Nakubali kwasababu tu lisemwalo lipo! Na ninakataa kwasababu hizi,

Kuna watu wanayapa mapenzi asilimia 80 ya maisha yao ya kila siku na inayobaki ndo ya mambo mengine. Mwisho wa siku unakuta ufanisi wa kazi haupo, utafutaji hela unakuwa mdogo hatimae mambo yanaenda mrama.

Pia unakuta mtu budget yake kwa siku ilikuwa elfu kumi anapopata mpenzi anatumia elfu hamsini kwa siku kwa kipato kilekile!
Jmn utaacha kufilisika na mambo kwenda kombo? Tafakari.
 
Umenikumbusha gazeti la Jitambue(pumzika kwa amani Munga Tehnan) hii mada iliwahi kuandikwa kwa kina ikwa pamoja na shuhuda za watu kuhusu jambo hili. Ukweli ndio huu kila ukimgegeda mwanamke kuna nguvu fulani umechukua kwake naye vilevile.
 
Umenikumbusha gazeti la Jitambue(pumzika kwa amani Munga Tehnan) hii mada iliwahi kuandikwa kwa kina ikwa pamoja na shuhuda za watu kuhusu jambo hili. Ukweli ndio huu kila ukimgegeda mwanamke kuna nguvu fulani umechukua kwake naye vilevile.

Dah wakuu kama ndio hivyo basi nivizuri tukawa waangalifu kabla ya kufanya maamuzi na pia wataalam wa hili inabidi watafutwe ili tupate elimu kuepusha vifo na majanga yasiyo ya lazima.
 
Kwa mimi wengi niliwaona wamekumbwa na haya ni wale ambao waliweka nadhiri na either mke au msichana aliyempenda kwa moyo wake wote na huyu msichana au mke huwa ni innocent then unakuja kumuacha na kumtelekeza kwa matusi kisa umepata mwingine sasa huko unapokwenda ndio mikosi inakuandamana wewe unafikiri ni ur current galfriend kumbe ni laana zako ulizobeba nyuma.

Kuna ambao niliona walistuka wakarudi kuomba msamaha kwa wake au galfriend na wakaja kufanikiwa tu. So mimi naamimi ukimfanyia mtu ubaya lazima utalipwa tu na hii ni the same kwa wanawake pia wanaotelekeza waume au boyfriend kwa sababu za tamaa na upuuzi. So be careful!
 
Ni kweli ila hata kuna wanaume wa huvyo mm nakumbuka mama mmoja mtaani walikuwa wanaish vizur tu na mkewe lakini yule baba akachepuka mpaka akazaa watoto watatatu jaman kila kitu anachofanya hafanikiw kafilisika balaa anavyolalamika sasa duuh utamwonea huruma
 
dah bila kumsahau Salome mtoto mwenye bahati siku ya kwanza kumgegenda, siku hiyo npigiwa simu kuripotini kazini ndani ya wiki moja,na nilikuwa jobless for twoo yrs baada kumalzi bachelor yangu,
 
Aisee hii ni kweli, wanaitwaga mlango wa nane. Ni hatari, tena unakuta ni wazuri kweli, lakini wana gundu la kufa mtu
 
Kila mtu ana bahat na Nyota yake bwana,,,na wakati mwingine wanaume tumekuwa vimalaya kupindukia,kila mwanamke unataka umpanue mapaja,sasa utashindwa kupata mikosi!,,
 
wema sepetu nasikia ananyota kali, ukiwanae karibu fedha lazima zikutembelee.
 
Back
Top Bottom