Recent content by nadia33

  1. N

    Special thread: The Vatican secrets and treasures of the Holy City

    Kwa sababu mtoto hawezi kukiri imani ya ubatizo bali wauminini hukiri imani kwa niaba yake. Ktk roho hakuna kitu kama kukiri kwa niaba. Kwa hiyo ukibatiza mtoto ni kama unacheza movie tu hajui hata maana ni nini..? Wala hajakili imani popote kwa kinywa chake na utashi wake. Rum:10:9-12
  2. N

    Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

    Yaani hapa kwenye kujua maswali yatakayoulizwa siku ya kiama na majibu yake ndio huwa mnanicha hoi . Yaani mnajua kabisa MUNGU atauliza swali gani na Issa atajibu hivyo hivyo bila kupindisha .. Duuh
  3. N

    Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Tafuta muda ukosome kuhusu Georgia stone. Angalia sharti la kwanza kabisa..
  4. N

    Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

    Hata kama watu 2 wataamini dunia nzima hilo halizuii maandiko kutimia. In future idadi ya watu wanaoamini watazidi kupungua zaidi . Lakin haitabadilisha maana ya maandiko kutimia .
  5. N

    Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

    NWO lazima itokee sababu mwanadamu alisha pewa tahadhari na maandiko ya dini zote .Biblia na Quran zote zimeeleza kuhusu kuja kwa mpinga Kristo. In short. MUNGU hawezi kujipinga mwenyewe alishaandika na lazima itokee otherwise Manabii na mitume wake wataokena ni waongo kwa kutabiri vitu...
  6. N

    Kuna uhusiano gani wa Damu na masuala ya imani katika kufanikisha mambo mbalimbali ya kimaisha?

    Pamoja na science na Techn yote ya mwanadamu hajaweza kutengeneza damu hata ya Kuku . kuna siri nzito ktk damu . Huenda damu ndio malango kati ya ulimwengu wa Nyama na ulimwengu was Roho
  7. N

    Makinika! Sio kila changu ni binadamu

    Haya mambo ukiwaza sana unaweza usifanye mishe zako. Siku moja nimeingia saloon maeneo ya tabata barakuda. Aliingia mama mmoja na heshima zake jamaa wakamkabidhi fuko umejaa nywele mother akasepa now. Cha ajabu sikupata akili ya kuuliza kwa nini wanampatia mother mfuko nywele mpaka nilipofika...
  8. N

    Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

    Waizrael ni wagumu Sana na Sana roho nzito ktk kuamini.Kama Pharaoh angewaruhusu kwa hiari wasingeli muamini MUSA Kama ametumwa na MUNGU . MUNGU alifanya moyo wa Pharaoh uwe mgumu ili aipige nchi kwa mapigo makuu. Na kupitia mapigo hayo waliamini kuwa kweli MUSA ametumwa na MUNGU sababu tu...
  9. N

    Venus: Utafiti mpya waonyesha uwezekano waviumbe hai kwenye sayari ya venus

    Wanazingua tuu..! Ka virus kadogo ka CORONA kametupeleka puta mbaya hayo ya Venus watayaweza kweli..?? Fikiria ka kirusi kanakufa na sabuni na maji ukitia pombe kanalewa zaidi kametupeleka mbaya yaani
  10. N

    Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

    Walishakula Wanasayansi wa Iran ndani ya Tehran
  11. N

    Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

    Nasikia hiyo sister ake ndio kichaa kilo moja na Robo
  12. N

    Bila Yesu Rais wa Belarus angeshapinduliwa zamani

    Hahaaa ...! Tayari washakuja mwenye haki zao
  13. N

    Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

    Kama ni kweli..Basi KiM alifanya kosa kubwa sana kukutana na TRUMP na kushikana mikono..
  14. N

    Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania

    Duuuhh ..!! Kumbe ulikuwepo eneo LA tukio.. Tupia hats clip moja basi tuone ndege inamimina
Back
Top Bottom