dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,185
- 57,612
Tumwombee sana Kim kwa kweli; hali sio hali kwa kipenzi chetu Kim. Kuna maandalizi makubwa yanafanyika NK muda huu.Kama ni kweli..Basi KiM alifanya kosa kubwa sana kukutana na TRUMP na kushikana mikono..