Recent content by Nabii kibonge

  1. Nabii kibonge

    Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

    Mkuuuu nimecheka kinoma inabidi ujumbe umfikie bwana ontario[emoji1787][emoji1787]
  2. Nabii kibonge

    GE2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

    Kama lichoko hvi tumia akili basi kufikiri[emoji1787][emoji1787]
  3. Nabii kibonge

    Amaboko ni hit song ilotu-prove wrong wengi wetu

    Umeandika nini sasa?[emoji1787][emoji1787]wazazi wako wanajua wamesomesha kweli mtoto wao ndio unakuja kuandika upupu kama huu?[emoji1787]
  4. Nabii kibonge

    Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

    Mzee alitubeba sana na mambo yake ya GPA [emoji1787]mwendo wa distinction tu
  5. Nabii kibonge

    Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Heheheheheh mwasisi wa soka la tiki taka
  6. Nabii kibonge

    Bayern Munich wamekabwa huko walidhani ni mterenko

    Jf kuna watabiri ao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Nabii kibonge

    Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

    Bora muwaambie na lyon wamejua kuwafunga midomo wapashkuna et ligi ya wakulima[emoji1787]
  8. Nabii kibonge

    YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Hahahah unataka utudanganyw then tusikubushie acha ushamba mkuu kila kitu kinaenda na facts[emoji1787]
  9. Nabii kibonge

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Wazee wa team Messi mlinitukana sana na leo nakuja na kile kile baada ya mechi ya bayern na badobtitashuhudia mengi zaidi[emoji1787][emoji1787]
  10. Nabii kibonge

    YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Kwa hiyo kupost kwenye youtube chanel ya mond ndio yake???? Mbona nyimbo nyingi tu hilo linatokea
  11. Nabii kibonge

    YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Mkuuu huo ni uongo yope toka mwez wa 4 ilikuwa imefika 70 tena kile kipindi korona ndio inakolea ilikua imefika 70 na apo kama ni hivyo bac mwez juni lazima ilikuwa na zaidi ya 75+ kwa hilo nabisha mkuu labda uje na ushahidi
  12. Nabii kibonge

    Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et taasisi wabongo bwana
  13. Nabii kibonge

    Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

    Achana na kushinda tu nomination je?? Maan mwaka jana kimambo na kizzy walau walionekana japokuwa hawakushinda
  14. Nabii kibonge

    YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Utopolo huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili nyingine bwana
  15. Nabii kibonge

    Alikiba jitambue bhana

    Kugaragazwa kupi ngoja turahisishe tuzo mkononi kwa sas anayo nani??? Mbona ishu ndogo hii
Back
Top Bottom