Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

Status
Not open for further replies.

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
532
1,000
Kuna tajiri ambae hua anaenda kupanga hosteli za 60,000(elfu sitini) kwa mwezi?
Kuna research gani inasema matajiri upanga ? Research nayoifahamu ni iliyofanywa na mwandishi wa kitabu cha The millionaire next door kuhusu millionaire wa marekani , matajiri wengi huishi nje ya miji awa ambao tunabanana nao Town wengi wao ni overspenders tu wa pesa ambao watu wasiojua utafsiri ni matajiri kumbe hawana wealth accumulation kivile
 

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
532
1,000
Kwa wote mnaosema Forex ni scam

Msichanganye forex na Jeff,,
Forex is real ila jeff anaweza asiwe real (forex sio wizi ila forex traders ndio wanaweza kua wezi)

Mimi nimejifunza na nili focus nayo kipindi kile cha templer na mpesa, na nina idea nayo na ninajua jinsi inavyofanya kazi. Sikuipa kipao mbele kama hao kina Magnetico au 255Millionairs kwa sababu sina uwezo wa kufundisha na kukuza mitaji kupitia ada za wanaojifunza.

Napiga mbanga zangu zikisimama nitarudi kwenye trading. Ni sawa Jeff anaweza kua mwizi au tapeli ila nyie mnaosema forex ni utapeli hapana na wakatalia, angalieni isije kua kushindwa kwenu kuielewa ndo mkaitumia kuisema vibaya.

Sio forex tu, ujuzi wowote asilimia kubwa huwezi kupewa bure ndio maana mashuleni watu wanalipa ada "If you are good in something don't do it for free" hii ni moja ya mbinu itumikayo na watu wengi tu kujipatia kipato cha ziada the same thing kwa hao wanaofundisha forex.

MANENO YA BIBLIA HAYA

Ecclesiastes 11:1

Invest your money in foreign trade, and one of these days you will make a profit.
Mara ajiite sir jeff ,mara ontario ,mara sir jeff dennis duh kweli ni shida mtu kila mwaka anachange majina ,Tz na si eti tuna Jeff Bezos wetu, pia uyo uyo Sir Richard Branson, billionaire gani ajikubali
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
15,243
2,000
Kafiee mbelee huko na wewe...!! Wale wale... Unataka kuanza kumpanga nani sasa???
Ni watu wawil tofauti , sii mtu mmoja, huyo Ontario wa Twitter ni mtu tu kaamua kutumia hilo jina ila Sio mtu mmoja, wote niko nao group moja WhatsApp

ni watu wawili tofaut, hiyo pesa atapewa j5 nitawaletea credentials hapa muingie kwenye accounts muangalie anavyo trade, watu wawil tofauti kabisa

kama issue ingekua "watu wanao juana" somehow ingemake sense, ila sio mtu mmoja huyo
 

T11

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
5,123
2,000
Mara ajiite sir jeff ,mara ontario ,mara sir jeff dennis duh kweli ni shida mtu kila mwaka anachange majina ,Tz na si eti tuna Jeff Bezos wetu, pia uyo uyo Sir Richard Branson, billionaire gani ajikubali
 

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,781
2,000
Hata kule twitter nakuona sana Humble African Aisee
Wiki hii nimefungua Hadi account na kuweka kambi kule Twitter kwa ajili ya Ontario ila naona kadhitiwa mapeema sana na wenyeji wa Twitter kabla hajaleta madhara makubwa kwa wanajamii.

Kama Forex Ina mega profit si afanye mwenyewe au awasanue ndugu zake kijijini shirati waje watengeneze pesa Dar es salaam!?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom