Recent content by nabii daniel

  1. nabii daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaojiita wahenga hawana uhenga wowote zaidi ya wivu, umbea na ulimbukeni

    Wataje
  2. nabii daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaojiita wahenga hawana uhenga wowote zaidi ya wivu, umbea na ulimbukeni

    Kwenye hiyo list rubii hakosi
  3. nabii daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

    Wakenya bwana wanapenda sifa za kijinga!! Kama Tanzania ingekuwa na tamaa basi sehemu yote ya Uganda ingekuwa ipo Tanzania na hata Kenya yote, sema Tanzania haina tamaa
  4. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Hebu muelewe mnyama mkali huyu

    Thimba
  5. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Simba mnyama amefanya yake

    Hayo ndiyi maajabu mnyama simba
  6. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ona

    Bei ya kutupa kabsa ,
  7. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Mkuu wewe kama si mmoja wa wanafamilia ya jk basi utakuwa unajipendekeza kwa kiwango cha juu sana, lkn usihofu wa kuchafuliwa ni kina zungu, manji, mbowe lkn si hao unadai wanachafuliwa..bila shaka unafaidika maovu yao
  8. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Wewe jamaa ni mbea mbaya! Mbowe amejisalimisha mwenyewe polisi hajakamatwa, mijitu miongo kama mleta mada lazima huwa ina matatizo ya kisaikolojia
  9. nabii daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Wewe umeshaolewa?
  10. nabii daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Mleta mada hata kuandika hujui
  11. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Nunua Semi trailer - DAF

    Picha hazitoshi kumshawishi mteja ukizingatia Maelezo yenyewe umetoa kama unakimbizwa
  12. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

    Bonanza limekwisha wakuu?
  13. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Christians faith is the living faith because you can turn the Jesus spoken words into reality.
  14. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Mada moto; Ofisi ya msajili yathibitisha uenyekiti wa Lipumba CUF

    Njaa tu mkuu
  15. nabii daniel

    JamiiForums Tanzania Hi!

    I'm a new member looking for a membership card.
Back
Top Bottom