Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
Ni layland Daf semi trailer,lipo Mwanza bei ni milioni 30 tu.kama unahitaji tuwasiliane kwa 0742159555
XFDAF CF au DAF XF?!?!
Milage
Engine status
Overall car conditions
Unafanyaje biashara huku umeweka information husika kihuni huni tu!?!?
Kua serious mkuu.
Tuwekee picha inayoonyesha number ya gari tuone inadaiwa vibali kiasi gani then ndio tuone kama tukutafute au la
Mkuu mbona jamaa kaweka namba ya Gari T 714 CND na Tela T 205CNETuwekee picha inayoonyesha number ya gari tuone inadaiwa vibali kiasi gani then ndio tuone kama tukutafute au la