Kati ya watu niliokuwa nawaamini wewe ni mmojawao lakini kwa taklibani mwaka na nusu umegeuka kinyonga, maandiko yako mengi yamekuwa ya kusujudia serikali ya chama cha mapinduzi,siku hizi kwako sio issue Wanasiasa wa upinzani kunyimwa Uhuru wao wa kufanya siasa,kukamatwa na kunyimwa dhamana...
Licha ya serikali kuweka mazingira magumu sana kwa wanasiasa hasa wa upinzani kufanya wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya siasa katika mazingira magumu sana ikiwa ni pamoja na kukamatwa kuhojiwa na jeshi la polisi, kupelekwa mahakamani na kushitakiwa kwa makosa ya kufanya kusanyiko/maandamano...
Kama ilivyotarajiwa mh magufuli amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri kwa kumteua Paramagamba kabudi kuwa waziri wa katiba na sheria na Mwakiembe ameteuliwa kuwa waziri wa habari sanaa na michezo, Nape out Makonda chapa kaziiiiii.
Mayala wewe naye umeshakuwa jipu mpenda sifa wewe kila wakati unajipendekeza kwa wakubwa. kwa kutetea kila kitu kinacchofanywa na Rais au Makonda hata kama wamefanya. ya kinjinga wewe unakuwa wa kwanza kuwakingia kifua, unaweza vipi kutetea mtu anayesadikika kughushi vyetu kwa hoja dhaifu zisizo...
Wakati Paulo Makonda alipoanzisha vita dhidi ya madawa ya kulevya kwa kutaja majina ya baadhi ya wasanii akiwatuhumu kutumia na kusambaza madawa ya kulevya mapro-ccm walimshagilia wakampa sifa kedekede kwamba sasa mihadarati imepata mtu sahihi wa kuitokomeza kabisa, wenzao pro-Chadema na wote...
Lizabon acha uongo Mhere ninayemfamu siyo ombaomba kama unavyotaka awe nimewasiliana naye hajayathibitisha hayo madai yako, sasa unataka tukuamini wewe au tumuamini yeye mwenyewe mhusika ambaye ameyakana madai yako? usiwe mmbeya kama mtoto wa kike, ya lumumba yamekushinda umekuja kupalamia ya...
Naomba ufafanuzi wa mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyenye sifa ya kupata ruzuku, kutokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka juzi kila chama kinapata shilingi ngapi kwa mwezi?
Kipindi maarifu cha jicho letu ndani ya habari mtakiharibu kwa kuendelea kumualika Moses Mathew, yaani huyo jamaa ni jipu akiulizwa swali ili atoe ufafanuzi anajibu vitu vingine kabisa nje ya swali anatikisa masikio? Nusura ya kuvunja kiti alichokalia.
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu kufanyika uchaguzi mkuu uliokuwa na ushindani mkubwa baina ya ccm na cdm(UKAWA)na hatimaye mgombea wa ccm kutangazwa mshindi kwa kura chache, kabla ya uchaguzi mchakato wa kuwapata wagombea uligubikwa na utata, baadhi ya washindi wa kura za maoni kwenye majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.