Kipindi maarifu cha jicho letu ndani ya habari mtakiharibu kwa kuendelea kumualika Moses Mathew, yaani huyo jamaa ni jipu akiulizwa swali ili atoe ufafanuzi anajibu vitu vingine kabisa nje ya swali anatikisa masikio? Nusura ya kuvunja kiti alichokalia.
Wanachojadili kipo wazi kabisa kuwa Tanzania kuna tishio la njaa kwa sababu ya kuchelewa kwa mvua na dalili ya ukame.Hapo hatuhitaji malaika yeyote kupinga ukweli huo ambao ni dhahiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.