Mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vya siasa

Mzyondi

Member
Nov 24, 2016
40
64
Naomba ufafanuzi wa mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyenye sifa ya kupata ruzuku, kutokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka juzi kila chama kinapata shilingi ngapi kwa mwezi?
 
Mbowe anatumia ruzuku ya chama kulipa deni TRA. ndoo maana baadhi ya wafanyakazi ndani ya chama hawajalipwa mishahara huu mwenzi wa pili.
 
Acha uchizi wewe.
Tuambie nyie CCM hiyo 1.2 B mnafanyie nini? Kwanini Eric Shigongo mpaka leo hajalipwa hela yake?
Bado kuna Wafanyakazi wa Magazeti yenu uchwara Uhuru na Mzalendo nao bado wanadai mishahara mwaka wa pili huu!!!
Nani wameuza mitambo ya Kuchapisha magazeti yenu kama siyo njaa????
 
Kwa hiyo mnaiga wafanyayo CCM?
 
Acha uchizi wewe.
Tuambie nyie CCM hiyo 1.2 B mnafanyie nini? Kwanini Eric Shigongo mpaka leo hajalipwa hela yake?
Bado kuna Wafanyakazi wa Magazeti yenu uchwara Uhuru na Mzalendo nao bado wanadai mishahara mwaka wa pili huu!!!
Nani wameuza mitambo ya Kuchapisha magazeti yenu kama siyo njaa????
Umesahau wafanyakazi walilipwa wote baada ya rais kutembelea? Hakuna anaedai, jengo jipya la CCM Upanga unadhani limejengwa kwa hela ipi? 900M bado mmepanga wakati kinondoni unapata nyumba kwa 200M u naweza kuvunja ukajenga ya kisasa kwa 500M, chadema ni chama cha mtu, na anaefaidika ni mwenye chama nyie endeleeni kuzungusha mikono na kushika ukuta.
 
Back
Top Bottom