Recent content by mzungute

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    Nini kinachokufanya ukubaliane na mengine kama mapambano na hali unajua waliomshtaki ni Utawala usiotenda haki na kuendelea kupandikiza chuki juu za kidini na ukabila dhidi yetu ili tujitenge na wapinga dhuluma dhidi ya Serikali na Ufisadi.. tuendelee kuwa macho tu hakuna shitaka hata moja dhidi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Asilimia mia niukweli uwekwe kwa Lugha yoyote, sikuzote tujifunze ku appreciate na kutoa mawazo mbadala sio kupoteza muda kupost malumbano badala ya solution.. Big up brother nivizuri tukapenyezeana experience mbali mbali tunazopitia na changamoto zake hasa katika bara letu zuri la Afirka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya CHADEMA kumng'oa Meya wa Ilemela - Agosti 19, 2013

    yamefanyika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkasi na Mrembo Kidoti

    Sawia huyu ni Kijipu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu

    Nadhani ndugu zangu tunajua kwamba bila umoja hakuna litakalowezekana katika haya maisha na sidhan kama nijambo la busara kufikiria kuvunja muungano wetu..Nadhani ndio sababu ya Muumba wa dunia hii kutuumba lasivyo angalimwacha Adamu pekeyake..jambo kuu nikuangalia maslah ya pande zote kihaki...
Back
Top Bottom