Wale sio wayahudi Asili waliouwawa bali ni Wayahudi wa kujipacha soma encylopedia juu Ya kuanza kwa taifa la KHAZARIAN ASHKANAZI JEWS ambao asili yao sio Wayahudi kabisa wala damu ya kiyahudi hawana wao ni wa European decendants sio Semitics , kwa hio ndio maana hao wanaishi ISRAEL NA WALE...
Trumps ataondoka na ataekuja atarejesha uhusiano kama zamani hayo ni mapito tu Ndio maana sera za REPUBLICAN NA DEMOCRATIC HAZILINGANI KATIKA MAMBO MENGI muda wa trumph ukiisha na mambo yake yanaisha na ujuwe wanapokezana kuendesha serikali
Tatizo wengi walioandika majibu hawakuwepo nafikiri KAJIMA ALIPO JENGA NEW SALEANDER BRIDGE MIAKA YA 80 , Taa za barabarani zilikiwa zinawaka sana mwanga mkali hata ukiendesha gari ukazima taa bado unaona mbele ndio mantiki yngu , kuweka taa za manjano sijonanq mantiki hio , wanaosafiri nje wapo...
Nasikitika sana kuona kila nchi ninazo tembelea Africa na hata Ulaya na Marekani taa za barabani ni mwanga mweupe wenye kumulika hata sindano unaiona usiku.
Sijui Tanesco wana matatizo gani kufunga taa manjano barabarani amabazo hazina kabisa mwanga na wala hazileti faida yoyote.
Hebu tuone...
Zungumzieni sasa SOKO LA AFRICA YA MASHARIKI JEE TANZANIA IMEJIPNGA VIPI MAANA KARIBUNI SANA KILA KITU KITAKUWA MADE IN EAST AFRICA SIO KENYA AU TANZANIA NA SARAFU ITAKUWA MOJA SASA USHAONA PASSPORT YA KENYA IMEANDIKWA EAST AFRICAN COMMUNITY NA YA TANZANIA HIVYO HIVYO SASA KIWEKA JINA LA SEHEMU...
Nafirkri mjuwe watanzania Sote ni jumuuia ya Afrika y MASHARIKI KARIBUNI TUTATUMIA SARAFU MOJA SASA WAKITUMIA MAJINA YA TZ SIO TATIZO MAANA KUNA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI YOTE MOJA KAMA TZ HAIPIGI DEBE BASI KAMA WAMOJA WANATUPIGIA DEBE HATA NGEDE ZETU ZIIIANDIKWA MAASAI MARA AU TSAVO NATIONAL...
Nani kaweka hio sensa wakristo asili mia 65 nani ni owongo mtupu hebu sensa gani ilifanywa watu wakaulizizwq dini zao si walifuta sehenu ya dini kwa sababu waislaam ndio wengi tokea mwalimu anapata uhuru UN wanajuwa Tanzania waslaam wako 65 pcnt. Na mpaka miaka ya karibuni hivyo hivyo waislam...
Kwanza mnajuwa hii ni PRIVATE SATATION TV haifungamani na kikundi au Dini ya mtu yoyote kama una pesa zako unataka kurusha MATANGAZO LIVE. HATA YA KANISA JUST LIPIA UTARUSHIWA TU ,hizo mnazoziona za waislaam ni Vipindi vinavyo dhaminiwa na wadhamini wengine ni BAKHRESA CO. lts. Kwa hio kama kina...
Hamas hawawezi kuacha nchi yao kwa sababu ya ISREAL KWANZA WATU WAELEWE HAWA WATU WAOJIFANYA WAYAHUDI JEE NINWAYAHUDI WA DAMU YA YAKOBO?nafikri kuna watu wengi wanashabikia bila kujua HISTORIA YA HAWA WATU WANAOJIITA WAYAHUDI ,kwanza jiulizeni kabla ya VITA VYA KWANZA HAO WANAOJIITA WAYAHUDI...
Wanayoipenda ISRAEL WAIPENDE PIA SOUTH AFRICA CHINI YA WAZUNGU MAANA WAZUNGU WALIWABAGUWQ WAAFRIKA NA. SASA WAISRAEL WANAWAFUKIZA WAAFRIKA WAONDOKE WAENDE RWANDA KUUZWA KWA KAGAME ,jee mbona wao wayahudi wanerundikana nchi nyingi za magharibi manasahau kama wao walichinjwq kama mbuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.