Shambulio la IDF syria lauwa waIran wawili

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Usiku wa kuamkia jana Jumamosi IDF imefanya shambulio la kombora kutokea Lebanoni na kuharibu kabisa miundombinu ya jeshi la Iran huko Syria:

watu wawili wanaotajwa kuwa raia wa Irani wamepitiwa pia na shambulio hilo

 
Muosha huoshwa...siku nao zamu yao ikifika wasilalamike kuwa ni ANTISEMITISM


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiv yale machumachuma pendwa s400 na mdogo wake s300 hayapo siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Zile haziwezi zuia ndege au makombora ya Israel, fuatilia mitandaoni utajua, IDF ni kitu kingine, yaani wana secret zoooote za S 300 na wanachofanya wana ichezea kama toy vile...!! Sometimes Israel IAF, wanarusha fighters zao alongside passengers jet, yaani wanakaa pembeni ili wasionekane, kisha wanaingia Syra wanapiga na kuondoka fastaaa
 
Usiku wa kuamkia jana Jumamosi IDF imefanya shambulio la kombora kutokea Lebanoni na kuharibu kabisa miundombinu ya jeshi la Iran huko Syria:

watu wawili wanaotajwa kuwa raia wa Irani wamepitiwa pia na shambulio hilo

naipenda Israel na IDF kwani bila wao magaidi wangekuwa wengi mno
Wavaa vipedo wa Iran watakuwa wamepagawa na majini yao sasa
 
Binadamu ni watu wa ajabu mno...shambulizi limefanywa na waisraeli na kusababisha vifo vya watu kadhaa mmatumbi anafurahia...Acha magu aendelee kutunyoosha mpaka tushike adabu
 
Wanayoipenda ISRAEL WAIPENDE PIA SOUTH AFRICA CHINI YA WAZUNGU MAANA WAZUNGU WALIWABAGUWQ WAAFRIKA NA. SASA WAISRAEL WANAWAFUKIZA WAAFRIKA WAONDOKE WAENDE RWANDA KUUZWA KWA KAGAME ,jee mbona wao wayahudi wanerundikana nchi nyingi za magharibi manasahau kama wao walichinjwq kama mbuzi na mjerumani kwa tabia zao chafu za Abaguzi na roho mbaya
 
Netanyahu ni mnoma before uchaguzi kawachapa na tena baada ya uchagizi kawamepiga zaidi... tena nimesikia eneo hilo limefungwa mitambo yote s300 na S400 ila karibu eneo zima limegeuzwa soccer field sio kambi tena... kumeonekana engine nyingi nyang'anyang'a za maroket. Na magari pengine mitambo imecharazwa pia
 
Back
Top Bottom