Kwanini simu za mkononi haziwezi kukamata redio za AM na SW?

Afu bro inabidi ujue kutofautisha AM, SW, MW. Unavosema AM/SW nikitu kimojaa .

FM=frequency modulation
AM= amplitude modulation

Some types of AM are.

-short wave SW amplitude modulation(AM) eg. BBC world service, dw
katka SW mawimbi yanarushwa kwa satellite ndomana unaweza sikiliza redio za marekan au UK mojamoja
-medium wave MW amplitude modulation (AM). Mawimbi yanarushwa kwaminara nayanatembea kwa kufollow curvature of earth eg. TBC taifa(hii IPO pia kwenye FM)
Nataka kufahamu mfumo huu wa AM ni kwanini radio zake hupatikana kwa wingi usiku tofauti na mchana
 
Simu

Wenye kufahamu naomba jibu:-

Kwanini simu za mkononi haziwezi kukamata matangazo ya redio yanayorushwa kwa njia ya AM na SW ?

Simu kwa kawaida zinakuja na app ambayo inakuwezesha kupata stesheni za FM radio tu. Lakini kupitia internet mfano app iitwayo radio garden unaweza kupata stesheni za redio dunia nzima kwa kuzungusha tufe la dunia. Stesheni nyingi ni FM lakini unapata pia chache za AM.

Utambue kuwa stesheni nyingi za redio duniani zinatumia mawimbi ya FM kurusha matangazo na ni chache sana zinatumia AM.

Kuhusu SW sijui kama bado kuna stesheni inatumia mawimbi hayo kwa sasa kwa sababu ni tech iliyopita na wakati maana ni analojia. Kama huwezi kuzipata kwa redio receiver ya kawaida utapataje kwa simu?
Pitia thread hii hapa
Katika redio kuna tofauti gani kati ya FM, SW, AM/ MW. Je, ipi bora kuliko zote?
 
haziwezi kukamata matangazo ya redio
haiwezi kukamata kwakua watengenezaji hawajaweka receiver IC husika kwenye simu,
hata izo zinazokamata FM, ni lazima kuwe na receiver IC ya FM ( fm tuner) kwenye motherboard ya simu
wakiamua kuweka, zitakamata
 
Mkuu inawezekana labda mimi najichanganya mahali au wewe

Kwenye simu unaweza kusikiliza radio kwa njia mbili

1. Fm radio kupitia minara husika ya radio, na

2. Internet radio kupitia kuwa connected na internet

Simu huwa zinakua na inbuilt radio kwa mawimbi ya FM, kama upo kigoma utapata kigoma fm, kama upo mtwara utapata nagwanda fm nk nk

Lakini pia unaweza kudownload app ikawa unasikiliza radio station yeyote iliopo online......na hapa haihusiani na mawimbi gani labda fm am mw nk, hapa utakua unasikiliza internet radio
Hata kama station inarusha kwa am fm wm nk hapa kwenye app itakua ni internet radio.....unatumia data kupokea sauti na sio frequency ukiwa mahali popote duniani kwenye internet

Mfano iphone hazina inbuilt fm radio hivyo ni lazima utumie app wakati vitochi na simu nyingi za android zinaundwa na fm radio kwa ndani
 
Mkuu tatizo ni tech ya kizamani na inachangamoto nyingi sana ikiwemo ukubwa wa antena wakati watengeneza simu wanaumiza vichwa kufanya simu izidi kuwa ndogo na nyepesi
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba stesheni nyingi zinatumia mawimbi ya FM. Sasa kama simu itasapoti AM ,SW au MW wakati hakuna watoa huduma wanaotumia mawimbi hayo nadhani unaona kuwa hakuna mantiki . Utauziwa simu bei kubwa kwa sababu inasapoti aina nyingi za mawimbi ya redio wakati mawimbi yenyewe hayapo. Suala ni upatikanaji wa hizi signal za AM na SW.
Mkuu inawezekana labda mimi najichanganya mahali au wewe

Kwenye simu unaweza kusikiliza radio kwa njia mbili

1. Fm radio kupitia minara husika ya radio, na

2. Internet radio kupitia kuwa connected na internet

Simu huwa zinakua na inbuilt radio kwa mawimbi ya FM, kama upo kigoma utapata kigoma fm, kama upo mtwara utapata nagwanda fm nk nk

Lakini pia unaweza kudownload app ikawa unasikiliza radio station yeyote iliopo online......na hapa haihusiani na mawimbi gani labda fm am mw nk, hapa utakua unasikiliza internet radio
Hata kama station inarusha kwa am fm wm nk hapa kwenye app itakua ni internet radio.....unatumia data kupokea sauti na sio frequency ukiwa mahali popote duniani kwenye internet

Mfano iphone hazina inbuilt fm radio hivyo ni lazima utumie app wakati vitochi na simu nyingi za android zinaundwa na fm radio kwa ndani
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba stesheni nyingi zinatumia mawimbi ya FM. Sasa kama simu itasapoti AM ,SW au MW wakati hakuna watoa huduma wanaotumia mawimbi hayo nadhani unaona kuwa hakuna mantiki . Utauziwa simu bei kubwa kwa sababu inasapoti aina nyingi za mawimbi ya redio wakati mawimbi yenyewe hayapo. Suala ni upatikanaji wa hizi signal za AM na SW.
Nalitambua sana hilo mkuu
Nilikua naweka sawa tu kuhusu Radio za kutumia frequency na za kutumia internet

Kwamba kwenye App huwa hakuna fm am sw mw
Huwa ni internet radio bila kujali chanzo chake ni fm au Mw nk
 
Kijana hakuna station inayo broadcast katika masafa ya am sasa na sababu ni kwamba ni ngumu sana kureduce distortation kwenye masafa ya AM unapojaribu kufanya hivi una degrade signal tofauti na masafa ya FM.
 
Back
Top Bottom