Jamani naandika kwa uchungu sana, mwenzenu nina miaka saba sasa tangu nimemaliza chuo sijawahi bahatika kupata ajira popotee.
Nilisoma BBA baada yakuona mambo magumu nikaenda driving nasasa nina hadi cheti cha NIT cha proffesional driving lakini bado sioni mwanga.
Naomba ushauri mzuri...
Broo usikimbie dar,,usikate tamaa,badili mawazo ya aina ya kazi unayotaka kufanya,usiwe selective sana katka kuchagua kazi,,.we tuliza akili usipanic kabisa nautajikuta unafanya maamuzi sahihi,,nakuombea mafanikio mema mkuu
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Wakuu habarini humu ndani,
Tafadhali sana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuvipata vioo vinavyozuia risasi, wapi vinapatikana na hatua za kuvipata.
Msaada jamani
Habarini humu ndani,
Kwa utafiti mdogo nilioufanya moja ya mambo yanayochangia wanaume wengi kuchepuka ni suala la wanawake wengi waliondani ya ndoa kutotoa unyumba inavyostahili.
Unakuta mwanamke usiku unaomba gemu anakwambia nimechoka na husema nimechoka mara nyingi.
Sisi wanaume tukitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.