Recent content by mziguamnguu

  1. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matajiri duniani kwa mujibu wa Forbes 2016

    MASAMAKI $ 05 B TRA TAMBAZI SIO JIPU, TANZANIA.
  2. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania kituko cha askari moroko mataa

    Duuuu kazi tunayo na huu uandishi!!
  3. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Mjue Simba

    Ninavyofahamu Tiger ndie mkubwa katika hawa jamii ya mapaka. Niko tayari kurekebishwa.
  4. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

    Alafu DONALD TRUMP anatuona watu weusi hovyo wakati tuko juu kwenye teknolojia kama hii kudadadeki.
  5. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Ni msichana gani aliyekuvutia wakati wa enzi za ujana wako wakati upo shule, lakini hukumpata?

    Daaaah kuna binti alikuwa anaitwa Ashura aiseee nilimkosa kabisa.
  6. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bongo ni zaidi ya Komedi

    Hili ndio tatizo la mtu anaposhindwa kukutana na mchepuko wake kunakosababishwa na kushtukiwa na mkewe basi anakuja kutupumzikia humu maana anakosa la kufanya!!
  7. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

    Jamani kuwa na video za po.no home au video kwenye simu ni dhambi?
  8. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya condom yamepungua kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Ban itasalimisha huu uzi kweli!!?tusubiri tuone.
  9. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Hiyo chopa ni ya mwekezaji mmarekani ambaye anafanya shughuli za utalii eneo hilo na anaruhusiwa kushiriki doria hivyo hiyo chopa yake ilikuwa katika doria na askari wanyamapori walikuwa chini na magari wakisubiri wapewe cordinates na huyo rubani baada ya kuruka na kuona wapi mizoga ya tembo...
  10. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

    Acha ubonobo wewee umetumwa au!!?
  11. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

    ha ha ha ha ha haaaaa daaah waungwana tupunguziane kuvunjana mbavu basi duuuuu ha haaaaa
  12. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Majangili utayajua tuu!!
  13. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Mkuu ni majangili ndio wameitungua hiyo chopper ya watu wa wanyamapori na kuua rubani aliyekwenda kuwachukua askari wanyamapori waliokuwa doria.
  14. mziguamnguu

    JamiiForums Tanzania Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Ninachokiona sio lazima sana jeshi ni hao askari wa wanyamapori wapewe vifaa, mafunzo zaidi na mazingira bora ya kazi yao yaboreshwe nawafahamu hao askari ni wazuri sana wakiwa kwenye kazi zao porini. Wanakosa support tu mfano hapo askari wanyamapori angeua jangili alafu baadhi wakakimbia...
Back
Top Bottom