kituko cha askari moroko mataa

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
pale moroko mataa kama una tokea shopaz mkono wa kushoto kuna mabanda ya mama ntilie ambapo wafanyakazi wengi wa ofisi za jirani huwa wanakwenda kula mchana, hapo hapo huwa askari wa usalama barabarani, na hawa wa pikipiki al maarufu kama tigo huwa wanajikusanya wakiwa katika shughuli zao siku ya janaa tarehe 3/3/16 saa sita na dakika kadhaa nilienda kupata lunch, wakaja jamaa fulani na kagari chao wakapaki nao wakajumuika kupata chakula cha mchana, akaja askari wa kike akavua kofia yake na kuweka juu ya gari hilo bila kujua gari ni la nani (nadhani alikwenda msalani) wale jamaa walipomaliza kula wakaingia kwenye gari tule dereva akaichukua ile kofia na kuingia nayo kwenye gari huku akimuulizia mwenye kofia, askari waliokuwepo eneo la tukio waliinuka na kuanza kumshambulia kwa matusi, wakati hio wote yule mwezake aliyekuja na gari alikuwa anachukua video kwenye simu walipomgundua walimpora simu na kumpiga sana kisha kumpeleka oyster bay police walihamaki kugundua kumbe jamaa waliyemkamata ni mtu anayejielewa sijui hii imekaaje.
 
naomba mamlaka husika ziondoe yale mabanda ya mama ntilie pale moroko mataa kwani pamekuwa pango la wanyang'anyi kuna wale mama ntilie ndio huwa ma cashier wa rushwa zinazokusanywa ....nitaweka video nirudi kwenye mada pale moroko mataa kama una tokea shopaz mkono wa kushoto kuna mabanda ya mama ntilie ambapo wafanyakazi wengi wa ofisi za jirani huwa wanakwenda kula mchana, hapo hapo huwa askari wa usalama barabarani, na hawa wa pikipiki al maarufu kama tigo huwa wanajikusanya wakiwa katika shughuli zao siku ya janaa tarehe 3/3/16 saa sita na dakika kadhaa nilienda kupata lunch, wakaja jamaa fulani na kagari chao wakapaki nao wakajumuika kupata chakula cha mchana, akaja askari wa kike akavua kofia yake na kuweka juu ya gari hilo bila kujua gari ni la nani (nadhani alikwenda msalani) wale jamaa walipomaliza kula wakaingia kwenye gari tule dereva akaichukua ile kofia na kuingia nayo kwenye gari huku akimuulizia mwenye kofia, askari waliokuwepo eneo la tukio waliinuka na kuanza kumshambulia kwa matusi, wakati hio wote yule mwezake aliyekuja na gari alikuwa anachukua video kwenye simu walipomgundua walimpora simu na kumpiga sana kisha kumpeleka oyster bay police walihamaki kugundua kumbe jamaa waliyemkamata ni mtu anayejielewa sijui hii imekaaje.

Kwa uandishi huu kweli wewe ni Illegal Migrant
 
Kwahiyo walimnyang'anya simu wakamchapa sana.
Wakampeleka ostabay.
Wewe video umaipata wapi??
kwakweli kama jamaa anajielewa hii sjui itakuwa imekaaje??
 
naomba mamlaka husika ziondoe yale mabanda ya mama ntilie pale moroko mataa kwani pamekuwa pango la wanyang'anyi kuna wale mama ntilie ndio huwa ma cashier wa rushwa zinazokusanywa ....nitaweka video nirudi kwenye mada pale moroko mataa kama una tokea shopaz mkono wa kushoto kuna mabanda ya mama ntilie ambapo wafanyakazi wengi wa ofisi za jirani huwa wanakwenda kula mchana, hapo hapo huwa askari wa usalama barabarani, na hawa wa pikipiki al maarufu kama tigo huwa wanajikusanya wakiwa katika shughuli zao siku ya janaa tarehe 3/3/16 saa sita na dakika kadhaa nilienda kupata lunch, wakaja jamaa fulani na kagari chao wakapaki nao wakajumuika kupata chakula cha mchana, akaja askari wa kike akavua kofia yake na kuweka juu ya gari hilo bila kujua gari ni la nani (nadhani alikwenda msalani) wale jamaa walipomaliza kula wakaingia kwenye gari tule dereva akaichukua ile kofia na kuingia nayo kwenye gari huku akimuulizia mwenye kofia, askari waliokuwepo eneo la tukio waliinuka na kuanza kumshambulia kwa matusi, wakati hio wote yule mwezake aliyekuja na gari alikuwa anachukua video kwenye simu walipomgundua walimpora simu na kumpiga sana kisha kumpeleka oyster bay police walihamaki kugundua kumbe jamaa waliyemkamata ni mtu anayejielewa sijui hii imekaaje.

Sijaelewa bado,sijui ndo umri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom