Elimu ya Bongo ni zaidi ya Komedi

Elimu ya Bongo ni zaidi ya Komedi

Duh..Agriculture ,Kiswahili na Islam hapo sijui nini anatengeneza ???

mkuu hata mimi nimejiuliza sana na ndiyo maana nikaona niwashirikisheni na nyie wasomi mliokubuhu mje mnisaidie.
 
you are mad at me,ok bring those school's names here,other wise your accusations are unfounded

umejitahidi kidogo kwa kiingereza chako ila jaribu kukiboresha zaidi kwani kinaonekana dhahiri kuwa ni cha standard three au five au umejifunza siku za karibuni tu. ngoja niendelee kukipigania kiswahili changu kinachonipa jeuri. halafu usipende sana kuja na id mpya kwani tayari nimeshakujua wewe ni nani. kumbe na wewe huwa una id nyingi humu JF? kwanini hamuwi kama mimi tu mwenye id moja tu hii hii? nimefurahi kuwa nawe Nifah.
 
Hizo Combination ndio mara ya kwanza nazisikia....

Labda ni ingizo jipya!
 
umejitahidi kidogo kwa kiingereza chako ila jaribu kukiboresha zaidi kwani kinaonekana dhahiri kuwa ni cha standard three au five au umejifunza siku za karibuni tu. ngoja niendelee kukipigania kiswahili changu kinachonipa jeuri. halafu usipende sana kuja na id mpya kwani tayari nimeshakujua wewe ni nani. kumbe na wewe huwa una id nyingi humu JF? kwanini hamuwi kama mimi tu mwenye id moja tu hii hii? nimefurahi kuwa nawe Nifah.
Tu es malade ou quoi?My dear you are very wrong,im not Nifah .This is internet never try to guess who is who because you will never find out;You need a Dr for sure
 
Get paid freely on this link https://jamii.app/JFUserGuide.com Earn 5$ - 10$ for every 10 seconds tasks, Earn Fix 5000$ Weekly Guaranteed

labda ungenisaidia kwanza nia yako au madhumuni yako ya kuniwekea hii link ni nini labda?
 
Tu es malade ou quoi?My dear you are very wrong,im not Nifah .This is internet never try to guess who is who because you will never find out;You need a Dr for sure

mbona hizi lugha zenu huwa hamziongei muweze kujiokoa kutoka kwa hao wahindi waliowaua majuzi huko ng'ambo mlipo? halafu hujui tu jinsi gani ninavyoku enjoy na unavyojichoresha kwani hicho kifaransa chako ni cha kiuchwara mtupu na kiingereza chako ni chepesi mno. haya naomba sasa ukinijibu unijibu kwa kispanyola kabisa!
 
Huyu bibie yuko sawa kukuambia unahitaji Dokta, Mbona unatokwa povu ivo mkuu?
 
Sie krank oder was,gib mir die Antwort.Please again tell us those schools.
 
Kuna wanafunzi wengi mjini,kuna wale wanaovaa nguo asubhi na JIONI ukiwauliza wanasoma wapi utasikia ,IFM ,au computer science,n k,kiuhalisia ni wauza sura wa mjini tu..nao,hakuna combination kama hizo,mm ni MWL sijawahi fundisha au kuna comb za hivi.Fanya uchunguzi
 
Huyu bibie yuko sawa kukuambia unahitaji Dokta, Mbona unatokwa povu ivo mkuu?
Mpaka sasa tumemwambia atutajie shizo shule zenye combination hizo,hata haeleweki.Mpaka sasa huyu ni mzushi tu
 
umeshatoka nje ya hoja yako,again ni shule zipi hizo zinazotoa hiyo michepuo?

je hiki ndiyo kireno chenyewe? hizo shule zipo katikati na miguu yako hapo kwa juu ziangalie tu utaziona.
 
Hili ndio tatizo la mtu anaposhindwa kukutana na mchepuko wake kunakosababishwa na kushtukiwa na mkewe basi anakuja kutupumzikia humu maana anakosa la kufanya!!
 
Huyu mtoa mada nina wasi wasi na utimilifu wa akili zake
 
Back
Top Bottom