Recent content by MZIBHAZI

  1. M

    Wajue vinara wa migomo ya UDSM ambao sasa ni waheshimiwa

    Hii post imenifanya nicheke balaaa ingawa ya siku nyingi miaka mingi kwelii
  2. M

    Wapiga solo guitar na ulevi, kuna siri gani?

    Jamani habari za leo, Mimi ni mkereketwa wa Live bands huwa nahudhuiria sana live bands ila naona wapiga Solo wengi ni chapombe balaa wanapiga huku wanayumba ukiwasogelea wananuka kimea hatari. Kuna yeyote anayeweza kuniambia siri ya hili guitor?Ingawa inaonekana pia they are very geneous...
  3. M

    Anajifanya yeye ni msanii Best Nasso wa Musoma

    Hahahaaa imenibidi nicheke kwa kweli
  4. M

    Anajifanya yeye ni msanii Best Nasso wa Musoma

    Hellow guys, Kuweni makini kuna jamaa mmoja anaijifanya anitwa BEST NASSO ni msukuma wa Mwanza hata rafudhi yake niyakisukuma mimi alishawahi kutaka kuniingiza mjini kwasaabu niliandaa show mpka nikijua ni yeye kwasababu anafanana na yeye kabisa mpka Rasta ila kumbe ni mpuuzi tu nilivyokuja...
  5. M

    Kuagiza gari Japan na gharama mpaka liingie barabarani

    Wakuu, Naomba kuuliza nimefikiria kuagiza Gari nimeona Cheep Car Japan kwenye BE FOWARD. Kuna gari inaitwa WILL CYPHER inauzwa 200USD Ingine yake ni CC 1260 ni ya mwaka 2003. Naomba wanaofahamu wanijuze niandae Milion ngapi jumla ili niendeshe gari? Na hii WILL CYPHER kwa wanaoijua zikoje...
  6. M

    Post gdaruate diploma in information technology

    Mnaojua naomba mnijuze tafadharii wakuu
  7. M

    Post gdaruate diploma in information technology

    Wadau samahani hapa Tanzania ni Chuo gani kinatoa PGDIT na kwa mda gani na huwa entry qualification ni zipi? Asanteni
  8. M

    Walimu huu ni muda mwafaka, mkiuchezea Msirudie kulia lia

    Hahahaaa umenichekeshaa sana man
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Same kilimanjaro nije Kibaha ,bagamoyo au Kinondoni dar es salaam idara ya sekondari
  10. M

    Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

    Hahahhaahahaa mkuu umenichekesha sana mpaka machozi yametoka wanatabia ganu mkuu
  11. M

    Social Walfare Officer

    Sana vinafanana mkuu
  12. M

    Social Walfare Officer

    Jamani hivi Afisa usitawi wa jamii ni mtu aliyesoma Sociology na social works tu?? je waliosoma Psychology hawawezi kua maafisa Ustawi wa Jamii?? Naomba kuwasilishaa
  13. M

    Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mimi ni mmoja ya watu wanaowafanyia interview na kuwatrein ma BVR KIT operator nakuomba ujiandae ujue computer ni nini,inamatumizi gani ni sehem kuu za computer na.aina zake zoote za komputer na ujue kutumia word na excell kidogo na kucreate folder n.k ni mambo madogo tuu tunauliza na tukikupa...
Back
Top Bottom