Wapiga solo guitar na ulevi, kuna siri gani?

Wapiga solo guitar na ulevi, kuna siri gani?

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Jamani habari za leo,

Mimi ni mkereketwa wa Live bands huwa nahudhuiria sana live bands ila naona wapiga Solo wengi ni chapombe balaa wanapiga huku wanayumba ukiwasogelea wananuka kimea hatari.

Kuna yeyote anayeweza kuniambia siri ya hili guitor?Ingawa inaonekana pia they are very geneous hawa watu
 
Daaaa umenikumbusha akina diblodibala,shimita,lokasa ya mbongo.
 
Said Mabera wa Msondo Ngoma Baba ya Music nae anapiga bia yule Mzee balaa
 
Back
Top Bottom