Walimu huu ni muda mwafaka, mkiuchezea Msirudie kulia lia

Walimu huu ni muda mwafaka, mkiuchezea Msirudie kulia lia

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,133
Reaction score
2,128
Hasira za manyanyaso za kutopandishwa madaraja kwa wakati, kutopewa gharama za likizo na vitisho vya mara kwa mara zihamishiwe kwenye sanduku la kura.

wale wa sekondari wahamasisheni wanafunzi wenu kwa nguvu zote ili serikali ijue ijifunze adabu. kumnyanyasa mwalimu ni sawa na kuliharibu taifa.

Hii itumike kama adhabu kwa watawala kujifanya vichwa maji. naomba niwawekee mchanganuo japo kidogo

1. Askari jeshi (JW) ambaye ni form mwenye cheo cha Kopro, take home ya mshahara ukimwongezea na allowances kwa mwezi si chini 1,200,000.

2. Mwenye nyota 1, take home +allowances si chini ya 2,500,000/ akiwa na degree au diploma inapanda mpaka 3,000,000/

ifikie hatua tuseme inatosha na bye bye JK na ccm yako. wakapumzike kwanza wakirudi angalau watakuwa wamejirekebisha.
 
Ccm Haitaweza Kukwepa Anguko La Aibu Mwaka Huu
Unajua Hata Watumishi Wameichoka Ila Oktoba 25
Asubuhi Na Mapema Tunaipeleka Ccm Makumbusho Ya Taifa Kwaajili Ya Rejea Za Nchi Yetu Huko Mbele.
 
Ukawa ndo mpango mzima....sijawahi kupiga kura lakini mwaka huu ntaipigia ukawa
 
Pamoja na kuhitaji mabadiliko ilia huo mshahara ulioandika sidhani kama ni wakweli.

Mdada tunawajaza nyembe ili wakafanye maamuzi sahihi.

Private mwaka wa kwanza form four +makorokocho 1.4.teh teh teh.

Wapi mwalimu,wapi docta,wapi mapolisi???

Safari hii sababu na mapolisi wapo,sjui kama magamba watabaki?
 
Ni walimu ndio waliomfanya mrema akang'aa mwaka 1995, sema tu walitumia goli la mkono kumfanya kashindwa, walimu wapo vizuri, wenye mashaka ni mapolisi ambao wanaishi kwa amri.
 
Ni walimu ndio waliomfanya mrema akang'aa mwaka 1995, sema tu walitumia goli la mkono kumfanya kashindwa, walimu wapo vizuri, wenye mashaka ni mapolisi ambao wanaishi kwa amri.

Kilichomwangusha Mrema ni kutojiandikisha kwa Washabiki wake.Mwaka huu Lowasa ajitahidi kuhamasisha Watu kupiga Kura na Kuzilinda.Aangalie zaidi kwenye uhesabuji na ujumlishaji ndio kwenye Utata.
 
Kilichomwangusha Mrema ni kutojiandikisha kwa Washabiki wake.Mwaka huu Lowasa ajitahidi kuhamasisha Watu kupiga Kura na Kuzilinda.Aangalie zaidi kwenye uhesabuji na ujumlishaji ndio kwenye Utata.

Wew ulikuwepo kweli wakati ule????? Mfumo wa kujiandikisha umeanza mwaka 2000, mrema sio kama hakushinda ila alipigwa changa la macho
 
Mimi ni mwalimu sitaki kuisikia CCM,na wanafunzi wangu wote hawaitaki. Na hatudanganyiki
 
JW mnatuonea tu kuna watumishi hiyo 1 mil. ni posho tu kwa nini msiwapigie mfano wao?
 
mie pia ni ticha nafundisha madudu ya ccm darasani ili wanafunzi wangu wajue chakufanya mwaka huu maana majanga kama take home ni 5 nakidogo dah bora li ccm litoke tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom