Ahsante kwa ushauri mkuu, nimekupata. Nilishasoma hiyo site before, unachokisema inaweza ikawa ni kweli. Lakini nimeshajaribu kubadili moja kati ya power ic's lakini still tatizo liko pale pale, ilikuwa inawka power light na kuzima unapowasha lakini kwa sasa ndo kimya kabisa. nitajaribu...
Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.
Atueleze vizuri ugumu wa maisha unainyofoa, alikuwa anachajiwa siti mbili kwenye gari au ilizidi uzito.Lakini kwa kuwa ni dodoma inawezekana walichomoka pale mirembe.
Mh. kwa sasa ni vigumu sana kueleweka ukizingatia kila linapoongewa swala la chadema mbali na kusifia unaonekana mamluki, lakini siku zote ukweli hujitenga na uongo, kinachohitajika hapo ni muda tu. Na safari hii haitachukua muda mrefu saana hili jambo kujitokeza. Naamini M.Marando hatashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.