Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania: Ajifyeka Nyeti Kwa Ugumu Wa Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania: Ajifyeka Nyeti Kwa Ugumu Wa Maisha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 8, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Habari kutoka Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma, zinaeleza kuwa mwananchi mmoja aliyekipigia CCM kura katika Uchaguzi Mkuu uliopita amejifyeka nyeti zake kutokana na kile alichokieleza kuwa "ugumu wa maisha".

  Habari hii ni ya kusikitisha kwani haiakisi kauli-mbiu ya CCM ya kuwaletea wananchi maisha bora.

  Ninampa pole mwananchi huyu na kumkumbusha kuwa ipo siku atatamani kunyofoa moyo wake kwani kama CCM na mafisadi wataendelea kuwa madarakani, maisha ya watu hayataboreka kamwe.

  Tukafanye kazi.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ugumu wa maisha anafyeka Nyeti Duuu Huyu anayake bwana!
   
 3. T

  Tata JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,744
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu ana akili timamu kweli? Sasa baada ya kjifyeka nyeti zake shughuli ile nyingine atafanyaje? Inawezekana hiyo nyeti yake imechangia kumsababishia maisha magumu.
   
 4. m

  mzeewadriver Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Atueleze vizuri ugumu wa maisha unainyofoa, alikuwa anachajiwa siti mbili kwenye gari au ilizidi uzito.Lakini kwa kuwa ni dodoma inawezekana walichomoka pale mirembe.
   
Loading...