Inakuwa ghali pale tu unapoondoa gharama za muda wako. Yaani masaa manne ya kukaa barabarani. kama unakwenda na kurudi that about 8 hrs na hapo ukute pwani inapitika. Ni mwanzo mzuri
Sasa Mbona zinabaki kata 13? kama hakuna chama cha upinzani kingine huko Halmashauri Itakuwa chini ya CCM ukijumlisha na mbunge ni kura 14 katika baraza
hata kwenye website ya Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) wemeweka matokeo ya ARUSHA Kiti cha urais
CCM = 15000 (20.24%)
CHADEMA = 35000 (47.23%)
CUF = 1000 (1.35%)
NCCR = 20000 (26.99%)
TLP = 3000 (4.05)
ZILIZOHARIBIKA = 100 (0.13%)
Haya matokeo hayajakaa sawa kwani namba ziko kama za...
Moshi Mjini (kata ya Rau)
Kituo Rau Zahanati
Dr 375
JK 198
Kituo Rau Shule
Dr 90
JK 30
Ubunge usiulize Chadema wame retain. and this time Manispaa ya Moshi ni CHADEMA
Naomba angalia kwa makini mambo yafuatayo
1. Je idadi ya watu waliohojiwa ni wangapi? Angalia hapa Wilaya (52), na wahojiwa 50 = 2600
2. Je katika kila kijiji/mtaa walihojiwa watu wangapi? maana vimechaguliwa vijiji/mitaa 2 katika kila wilaya
3. Wanaume 25 na wanawake 25...
Naomba angalia kwa makini mambo yafuatayo
1. Je idadi ya watu waliohojiwa ni wangapi? Angalia hapa Wilaya (52), na wahojiwa 50 = 2600
2. Je katika kila kijiji/mtaa walihojiwa watu wangapi? maana vimechaguliwa vijiji/mitaa 2 katika kila wilaya
3. Wanaume 25 na wanawake 25...
Unataka kusema kina Makamba. mzee karume. mzee mwinyi, Balali na wengine woooooooooote hawajafunga? Hapa inabidi watu tuelezwe nini tatizo na Raisi wetu? Maana kuona Raisi anadondoka mpaka anashindwa malizia hotuba yake, ni hatari kwa nchi hii. Bila kuangalia siasa wala nini. Ukizungumzia...
Maelezo ya kina nimekuwa shirika la habari ndugu?
for ARC hotel visit this web page http://archotel-tz.com/ na utaweza ongea nao moja kwa moja
kwa Dragoner sina contact details zao
Maelezo ya kina nimekuwa shirika la habari ndugu?
for ARC hotel visit this web page http://archotel-tz.com/ na utaweza ongea nao moja kwa moja
kwa Dragoner sina contact details zako
Kwa vile umetaja hotel basi sidhani kama unataka kujua kuhusu guest house ambazo ziko nyingi zenye hali nzuri sana na ukiacha bei kuwa poa nazo huduma kama most hotels. kujibu ombi lako jaribu hotal hizi
Morogoro hotel. sasa imekarabatiwa na iko juu. mandhari mazuri sana
Hilux hotel, hii...
IWC meeting abuzz over Japan vote-buying accusations
Wednesday 23rd June, 07:58 AM JST
AGADIR, Morocco Accusations that Japan uses aid money and personal favors to buy votes have quietly circulated for years around the International Whaling Commission, which oversees the conservation of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.